Mjukuu wa Mandela yupo safarini Dar -Kigoma na TRL

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Mjukuu wa Nelson mandela alianza safari Cape town na sasa yupo Njiani kuelekea Kigoma,
na mwisho wa safari yake ni Cairo.Anachangisha hela kusaidia njaa Somalia.
Safari yake ni kusafiri bure,hivyo aliomba tiketi ya bure TRL.
Navyo fikiri mimi,hatasahau maishani kwake jinsi treni zetu na huduma za shirika zilivyokuwa zinatisha.
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,117
Ivi TRL wameshaanza operations
Maana enzi za wahindi nkapoteza mood ya kujua yanayojiri kule nkabaki na Tazara in my mind ambayo nadhani SATA atalifanyia kazi
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
58,555
116,694
Mjukuu wa Nelson mandela alianza safari Cape town na sasa yupo Njiani kuelekea Kigoma,
na mwisho wa safari yake ni Cairo.Anachangisha hela kusaidia njaa Somalia.
Safari yake ni kusafiri bure,hivyo aliomba tiketi ya bure TRL.
Navyo fikiri mimi,hatasahau maishani kwake jinsi treni zetu na huduma za shirika zilivyokuwa zinatisha.
Okey msalimie.
 
cartura

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,026
786
pamoja na hiyo noble cause ya kuchangisha fedha za njaa, i guess atapata fursa ya kufanya utalii kwa kutumia magofu ya train za kale
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
24,083
20,692
Mjukuu wa Nelson mandela alianza safari Cape town na sasa yupo Njiani kuelekea Kigoma,
na mwisho wa safari yake ni Cairo.Anachangisha hela kusaidia njaa Somalia.
Safari yake ni kusafiri bure,hivyo aliomba tiketi ya bure TRL.
Navyo fikiri mimi,hatasahau maishani kwake jinsi treni zetu na huduma za shirika zilivyokuwa zinatisha.
Yuko kwenye maandalizi ya TV show yake.Kama ni huyo ambaye niliona habari zake kwenye TV na pia kuwa anataka kuanzisha line clothing yake or something like that.Hopefully hataharibu jina la baba yake kwa kufanya ufisadi.
 
Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,518
1,336
Hajapotea njia huyu,anakwenda kaskazini ya africa anapanda treni ya kwenda magharibi ya Africa. Kuna utata kidogo

kuna mjukuu mmoja wa madiba alishavutaga mahela kuhusiana na television rights za masiba wa babu yake isije ikwa ndio huyu
 
Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
466
Mi nawaomba Wabunge wote hasa wale ambao TRL na TAZARA zinapita mikoa yao .
Katika safari zao watenge trip fulani wattumie TRL
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom