Mjukuu wa Mandela atoa wito wa kufungwa ubalozi wa Israel nchini Afrika Kusini

Bwasheeeee.. Unahitaji therapist,usipuuze iki ninachokuambia.

Mamwezio kakoti kile kitabu chake kinamuambia dhidi ya wasio waislam, nami nimekazia juu ya kilichoandikwa, sijavabadili hata yodi 1,sasa hiyo mipasho iko wapi?.

Hakuna pahari umekanusha kuwa AYA nilizozileta ni batili, ulitaka AYA nikakupa, ujazikanusha, umeishia kuleta tafsiri zako unazozijua wewe wakati maandiko yako wazi.

Haya bhana. Tukomee hapa.
Nimekupa tafsiri ya Aya, ulitakiwa upinge hizo tafsiri na sio uanze personal attack kwa otterhound mimi zinanihusu nini?

Kama nimeleta tafsiri za uongo kama hizo Aya zinawahusu wakristo kama mabano yako uliyoyaweka ulitakiwa ulete ushahidi na wewe.

Mambo ya ku attack member wengine na vitu vyengine ambavyo haina ushahidi discuss na wengine mimi sipo interested.
 
Hakuna pahari nimeku-attack, na wala siwezi fanya hivyo..
Nina ishi kwa mipaka.

Nimesema 1+1 = 2, we unakataa, unasema ni 11,ninakuuliza hiyo 1+1 ni 11 kwa mujibu wa nini?, unasema ni kwa mujibu wa tafsiri yako.
Nami nimesema hapana, tafsiri yako haiwezi badili kanuni ya kimahesabu, jibu lako la 11 ni la uwongo, " we unasema kama jibu la 11 ni uwongo, nilete ushaidi wa kuonyesha uwongo huo.
Unajisahaulisha kwamba ushaidi uko machoni pako, unauona, si kwamba uuoni.
Haya bhana.

T ukomee hapa sheikh wangu.
 
Sijasema mahala umeni attack, nimekupa majibu wewe umeanza kum attack otterhound soma vizuri comment yako juu.

Na wewe Aya umezutafsiri vibaya, leta ushahidi wowote kwamba tafsiri yako ni sahihi, kama kuna ulamaa ama scholar wowote wa quran ametafsiri kama ulivyotafsiri wewe.

Elimu zote sio ya Kiisilamu tu hata elimu tunayosoma darasanai huwezi ukakurupuka kutoa description ya kitu, unahitaji kufika level fulani ya Elimu, mfano mwalimu wa msingi anafika sekondari na kwenda chuo cha ualimu, mwalimu wa Advance Ana degree, mwenye master aNakuwa lecture msaidizi wa chuo, PhD na professor wanakuwa MA lecture etc.

Huwezi ukamtoa mtu wa darasa la saba akafundishe masters. Haya ni mambo serious watu Wana dedicate maisha yao kuyasomea, unakuta mtu miaka 40 ama 50 Ana research aya 4 ama 5 then wewe umekaa tu unatafsiri kama gazeti?
 
The teh teh..
Mkuu ikiwa una amini maswala ya imani/dini yanahitaji academy qualifications basi una shida sana.

Binafsi, hao sijui scholars na MA PhD yao uwa sioni ikiwa wana kitu cha ziada katika swala zima la imani ama dini..zaidi naona wapo kupindisha pindisha maandiko ili yafiti tafsiri zao.

Ndo maana Almighty God(Jesus) alidili na wavuvi, hawakuwa na MA-PhD wala nini, lakini waliihubiri ile kweli tupu.
 
Sawa usiende kanisani, usisikilize Padre, wala askofu Sababu dini haihitaji Qualifications.

Wewe mpaka leo unaisoma hio Bible kuna maelfu ya watu wamesacrifice maisha yao kuitunza, hawakuwa wajinga Bali walikuwa ni watu wenye elimu.

Umemjua yesu mpaka unajitapa hapa kuna watu wenye elimu zao walitunza maandiko yake.

Unaisoma Bible kwa kiswahili ama kingereza badala ya Lugha yake ya asili ina maana kuna watu wamekutafunia wewe umesoma,

Kwa mentality kama yako nchi hii ina safari ndefu sana.
 
Unachanganya sana, sijui ni kwa bahati mbaya ama maksudi tu.

Mfn:JEROME, aliumiza kichwa kutafsiri maandiko kutoka lugha 1 kwenda nyingine, huyu alichukua maandiko kama yalivyo, hakuweka tafsiri yake pale alipoona kuna utata.

Akikuta andiko limeandikwa UPUMBAVU WA MUNGU UNAZIDI HEKIMA YA Mwanadamu, andiko ilo analiweka hivyo hivyo..

Hao wanazuoni wanaofanya kitu tofauti, andiko lina sema USIWAFANYE MANASWALA na MAYAUDI kuwa marafiki zenu, bali ni marafiki wao kwa wao, wao wabadili, wanatia maneno yao wanayotaka wao.

Ila shida hii ipo kwa waislamu mwendo kasi kama wewe, ndo maana Zurri uwa anawapinga sana humu.
 
sasa huoni unajipinga mwenyewe alieweka mabano akaandika non muslim ni nani? aliebadilisha neno walii kwenda friend ni nani?
 
Mwalimu Nyerere alisema wa Israel sio binaadamu, hawafai hata kuwa rafiki yako na aliwagomea kufungua ubalozi wao nchini Tanzania. Ila kuna juha lilivyopata madaraka 2015 likawaruhusu kufungua ubalozi wao nchini.
Tumefaidika tayari Kwa kufunguliwa ubalozi wa Israel nchini Tanzania. Kuna watanzania kibao wamepata Fursa ya kwenda kusoma Israel na wamefanikiwa kupata pesa nzuri tuu
 
The teh teh..
Mkuu ikiwa una amini maswala ya imani/dini yanahitaji academy qualifications basi una shida sana.

Binafsi, hao sijui scholars na MA PhD yao uwa sioni ikiwa wana kitu cha ziada katika swala zima la imani ama dini..zaidi naona wapo kupindisha pindisha maandiko ili yafiti tafsiri zao.

Ndo maana Almighty God(Jesus) alidili na wavuvi, hawakuwa na MA-PhD wala nini, lakini waliihubiri ile kweli tupu.
acha ubishi wakijinga hauna faida. Hakuna muslim anafundishwa chuki dhidi ya kiumbe kingine hakuna icho kitu husilazimishe mambo ukaonekana unajua sana kumbe hakuna kitu unajua acha ujinga
 
Ujinga ni hali ya Kutojua kitu, nijuze nisichojua.

Nb: kanuni ya kumpenda adui yako ipo katika biblia pekee, labda uniambie Mudi hii kanuni kaikopi lini.

Pingana muislam mwenzio, mimi ligi siwezi.

IMG_20210514_080342.png
 
Na ndiyo south waisilamu wachache lakini wameandamana. Huku sasa!!! Waisilamu ni wengi kuliko manaswara lakini hakuna aliethubutu kutia neno la "maandamano" tumebakia kusikitika kwenye mitandao.
Hivi unafikiri ule ugomvi ni wa kidini.. Mbona hujaandamana Waislamu wakiuliwa huko Msumbiji na magaidi ya kiislamu
 
Mkuu, nilijua fika utakuja na Sarakasi hizi, nilichotaka ni kukumbusha tu kuwa kitabu chako kinakutaka umchukie asie muislam ilo lipo wazi.

Huyo muislam mwenzako sijui Ottermendi alivyoandika comment ya kibaguzi alijua tupo zama za mtume? Si, anajua tupo karne ya 21, ama hajui?...

Ndugu wa muislam ni muislam mwenzie tu, unalijua na kukubaliana na ili ila hapa utakataa ila ndani ya kongosho zako ili unaliishi bila shida.

View attachment 1785518
Kijana Qur'an huijui na wala hujui inashuka kiminajil gani.
Unapolazimisha ujuaji huwa unaonekana kuwa mpumbavu tena kupindukia.
Aya tuambie ww unaejua zaidi umesoma kwa sheikh gani hayo unayoyaleta?
Qur'an siyo km biblia.
Qur'an unapoinukuu aya yake lazima ujue hikma yake,sababu ya kushuka aya..
Hvyo ndivyo vinavyozingatiwa.
Unaelekezwa unasema sarakasi.
Unafaa kuitwa mpumbavu kwa kulazimisha ujuaji.
 
Huwa sina kawaida ya ku discuss mipasho, Una hoja leta, kama hauna vyema ukanyamaza, nimeshakujibu juu uislamu hauangalii nani kasema ama nani kafanya unaangalia Quran na Sunna, kama Una Hoja leta huko, sipo hapa kujadili watu.
kaka achna naye..
Wakristo huwa hawajielewi na hawaelewi km Qur'an ina uchambuzi wake wanadhan ni km biblia unanukuuu unaweka mezani.
Hapo ndipo wanalazimisha ujuaji na kugeuka wapumbavu.
Usipoteze nguvu zako kujadiliana na mpumbavu.
Maana Wakristo hulazimisha hoja zao zikubalike watakavyo wao.
 
Kijana Qur'an huijui na wala hujui inashuka kiminajil gani.
Unapolazimisha ujuaji huwa unaonekana kuwa mpumbavu tena kupindukia.
Aya tuambie ww unaejua zaidi umesoma kwa sheikh gani hayo unayoyaleta?
Qur'an siyo km biblia.
Qur'an unapoinukuu aya yake lazima ujue hikma yake,sababu ya kushuka aya..
Hvyo ndivyo vinavyozingatiwa.
Unaelekezwa unasema sarakasi.
Unafaa kuitwa mpumbavu

Kijana Qur'an huijui na wala hujui inashuka kiminajil gani.
Unapolazimisha ujuaji huwa unaonekana kuwa mpumbavu tena kupindukia.
Aya tuambie ww unaejua zaidi umesoma kwa sheikh gani hayo unayoyaleta?
Qur'an siyo km biblia.
Qur'an unapoinukuu aya yake lazima ujue hikma yake,sababu ya kushuka aya..
Hvyo ndivyo vinavyozingatiwa.
Unaelekezwa unasema sarakasi.
Unafaa kuitwa mpumbavu kwa kulazimisha ujuaji.
wewe ni mpumbavu unaejaribu kupambanua upumbavu wa aliewaletea uvuvio wa kipepo ili kuwadanganya wapumbavu.
nimekua- ignore.
 
Back
Top Bottom