Mjukuu wa Malkia Elizabeth Atangaza Uchumba

--------------------------
Update II: Tarehe kamili ya Harusi baina ya Harry na Meghan
---------------------------
Kasri ya Kesington imetangaza kwamba harusi ya Harry na Megan itafungwa siku ya Jumamosi tarehe 19/5/2018 ndani ya kanisa la Mt George lililopo kwenye kasri ya Windsor.
Tarehe hiyo imechaguliwa mahsusi ili mke-mwenza, Kate ashiriki kikamilifu baada ya kujifungua mtoto wa tatu mwezi April 2018 na kupumzika vya kutosha.

Tarehe hiyo pia imetoka nje ya utamaduni wa kifalme wa kufunga harusi siku za wiki ie Jumatatu - Ijumaa ambapo hii ya Harry inafanyika Jumamosi.Kasri ya Kesington inasema haina namna.

Pia tarehe hii imewastua wengi kwani 19/5/2018 ni fainali za kombe la FA.Sasa waingereza wanajiuliza watajigawaje kuhudhuria matukio hayo ambayo ni muhimu kwao.

Msimamizi wa ndoa ya Harry atakuwa kaka yake William pia watoto wawili wa William, George na Charlotte watapamba harusi hiyo.

Siku kadhaa kabla ya harusi Meghan atabatizwa na kupokelewa kwenye kanisa la anglikana. Kwa sasa anafundishwa jinsi ya kuvaa, kutembea na kucheka kifalme.Uamerika wote wa California anatakiwa autupe mbali. Kazi ngumu kidogo kwake, ila itabidi ajitahidi maana ukitaka kuwa mmasai lazima ujifunze kuvaa lubega na shanga.
 
UPDATES:
Harusi ya hawa wawili imepangwa kufanyika mwezi may 2018, na siyo tena mapema zaidi.Tarehe itatajwa baadae. Sababu ya kusogeza mpaka May ni kwamba kuna matukio mengi ya nyumba ya malkia yatatokea kati ya Jan-April 2018. Hivyo hawataki kugonganisha matukio.

Harusi itafungwa kwenye kanisa la Mt George lililo kwenye kasri ya Windsor.
image

Kanisa la Mt George
ujemzi wa dizaini hiyo ya kuoanga matofali naupenda sana kwa hapa bongo nadhani nyumba ya mkapa ipo kwa style kama hiyo
 
Watu wanaona mbali. Dwa 96-84=12. Kwa miaka 12 mtu kishaona mpenz wake. Huk bongo mtoto wa miaka 12 anawaza kombolela tu. Hahhahaja
 
Back
Top Bottom