Mjukuu noumer!

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,222
2,925
Kuna mmama moja hajaolewa ila anaishi na ndugu zake na kajukuu kake ka miaka minne,yule mama hua anenda nako kwa mabwana zake,siku ya siku akapanga miadi na bwana ya kukutana saa mbili ucku,jion ile wakiwa wanakula chakula na watu wengine walikuwepo mjukuu kaangalia saa alafu kamuuliza bibi yake kwan sahizi za ngapi,bibi akamwambia saa mbili na robo, mjukuu akang'aka kwa sauti watu wote wakastuka na kumuuliza kwann, akamwambia bibi mbona mda umeenda na ulipanga na yule babu juma tutaenda kwake saa mbili?twende bibi,unapoingiaga chumbani kwake yeye ananipaka bisi ananambia nitulie mpaka mmalize kazi.
 
unamziba mdomo asiendelee kulopoka. halafu mkishatoka hapo mkiageni tu hata hamjafika mbali anamchumia fimbo, tandika fimbo za miguu hadi ajikojolee. halafu unamwambia ole wako nisikie unalopoka tena. nakuchoma mdomo. halafu mnaenda tena kwa babu kama kawa. hata hizo bisi hatakula tena. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom