Mjue Yoabu - Jenerali Mkuu wa Mfalme Daudi, Katili na asiyeogopa chochote!

Hapana mkuu,waliohamia Israel ni watoto kumi na mbili wa Yakobo, ambae pia ndio baba wa israel wote huku nyuma waliacha nchi nyingine inaitwa canaan,kwahiyo wale watoto kumi na mbili ndio waliexpand na kuwa mass yote ile
maishapopote, katika stori za Biblia napenda sana stori za Daud, zinaonyesha jinsi alivyokuwa mnyenyekevu, ila nalikuwa nikishangaa sana jinsi Yoabu alivyokuwa mbabe kuliko Mfalme, na siku zote Mfalme Daud hakuwa na neno juu yake, Katika maelekezo ya kukabidhiana ufalme kati ya Daud na Suleimani Daudi anatoa maelekezo kwa Suleiman nini afanye kwa Yoabu, Maana yake Daud alikuwa anajua kuwa Ufalme wake ulisimama kwa sababu ya Yoabu, lakini pia anajua ya kwamba kwa kadri Yoabu atakavyokuwa mzima Suleimani hawezi kuwa Salama.
 
Kipindi mfalme Amekua mzee..Yoabu na umri ulikua umeenda ila alikua anaogopeka sana..Benaya mwana wa Yehodaya alikua Bado Vizuri..maana alikua mkuu wa Kikosi enzi za Yoabu..Yoabu kuna watu walikua ni Hodari vitani kuliko yeye ila alichowashinda alikua smart...na katili sana aliijua siasa na aliweza kucheza na akili sana...wakati uria anakufa vitani Yoabu alimpanga sehemu anayojua kuna mashujaa mno ( wa maadui) na Yoabu aliusogelea mji sana na akapoteza askari kadhaa..sasa akamtuma mtu kumpa taarifa mfalme akamwambia utakapomwambia na askari wetu kadhaa wamekufa atakakasirika na kuuliza kwa nn mmekaribia mji vile hamjui ni hatari atakapokwambia hivyo mjibu Mfalme, na Mtumishi wako Uria nae amekufa..na ndivyo ilivyotokea...Mfalme alipowaka akaambiwa na Uria kafa akatulia kama maji ...Yoabu alikua anajua kucheza na akili ya mfalme Daudi
 
Alijua Mfalme kaishagonga mke wa Uriya na kamjaza mimba
 
Nilikuwa nafuatilia series ya KING DAVID katika chanel ya KTN, huyu jamaa kweli alikuwa nguzo katika utawala wa Daud
 
Alijua Mfalme kaishagonga mke wa Uriya na kamjaza mimba
Daud alikuwa mnoma sana mmi aliniacha hoi kwa mapenzi yake na Jonathan,mtoto mkubwa wa mfalme Saul,
Walikuwa na mapenzi ya dhati,licha ya mfalme Saul kumfokea mwanae Jonathan kuwa anaitia aibu family,bado Jonathan alikuwa hasikii la MTU mbele ya Daud.
Daud alikuja akamwoa pia dadake Jonathan
 
yaap nafikiri aliitwa milka au mikali...dada yake Jonathan,.....
 
maelezo ya bible yanaonyesha wazi,japo hawasemi mojamoja kwa moja,na hata alipofariki jonathani,Daudi alilia sana na kudai,mapenzi yake kwa jonathani hayana mfano na ni makubwa kuliko mapenzi yake kwa mkewe.
 
Hata mfalme Saul,alimgombeza sana mwanae jonathani kuhusu mahusiano yake na Daud,akamwambia ameutia aibu ukoo,pamoja na tupu za mamake kwa mahusiano yake na daudi.

Isitoshe jonathani alikuwa akitoroka usiku na kwenda kwa daud na kumpa siri zote za family ,ikiwemo mipango ya saul kumdhuru Daud
 
mkuu nadhani hujasoma vizuri na akili yako imekimbilia sehemu mbovu....unajua kuna aina ngapi za upendo?
 
Hata mfalme Saul,alimgombeza sana mwanae jonathani kuhusu mahusiano yake na Daud,akamwambia ameutia aibu ukoo,pamoja na tupu za mamake kwa mahusiano yake na daudi.

Isitoshe jonathani alikuwa akitoroka usiku na kwenda kwa daud na kumpa siri zote za family ,ikiwemo mipango ya saul kumdhuru Daud
ugomvi wa Sauli na Daudi ndio uliofanya Mfalme sauli Amgombeze Mwanae, Maana Jonathani alikua na urafiki na Daudi na akawa upande wake
 
sawa ila hakikisha hayo maandiko yanaongea unachosema,tukubaliane hakuna reference nje ya biblia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom