Mjue Peacock spide, buibui ambaye huliwa na jike akikosea kutongoza

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Viumbe wana maajabu yao, huyu kiumbe anaitwa Peacock spider kwa kuwa anarangi nyingi mbalimbali na kung'aa kama tausi
Ni aina ya maratus, kiumbe huyu anapotongoza inabidi acheze kwa muda mrefu ili kumvutia jike, na kama jike hatovutiwa na michezo anakuwa katika hatari kubwa ya kuuawa na kuliwa na jike husika
 
Vijana leo wangekua Wainjilist

View attachment 1409479
 
Kidemu chenyewe kimekomaa utadhani Betina.
 
hapo machalii wa darfreemarkeee.. niwangedanja kiaje!? Huyo nyokaaa huko china(corona) hapa aende skonga asee...ni kisanga na robo...
 
maajabu ya sir god haya,halaf bado kuna mbwiga wanakaza vichwa...wonders shall never end...🚶🚶🚶
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom