nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 660
- 729
Kwanza Nitamke mie ni Mjita tena Mtimba ambao tumekuwa Wakama/watawala wa eneo la majita tangu kwa Babu Yetu Kusaga, Manyama (alikaimu), Malegesi AKA Nyamadege na mwisho Majinge.
Hao ni Wakama wa kabla ya uhuru.
Habari ya Nabii Mjee na utabiri wake ipo kweli naifahamu tangu utoto.
Tumesimuliwa na na kulithishwa kizazi hadi kizazi. Utabiri ulitokea around katikati ya karne ya 19 miaka ya 1850s.
Wakati huo majita kulikua na migogoro ya kiukoo. Jamii ya ukoo wa Wasilanga wenye nasaba na wakerewe wakichua na jamii ya Wakangara wenye nasaba na Wataturu.
Katika mgogoro huo ukoo mdogo wa Watimba ukafanikiwa kutawala na kuthibiti koo zingine.
Ijapokua mwandishi kaandika utabiri kwa malengo mficho ya kisiasa lakini utabiri upo na katika utabiri huo nchi hii itatawalia na viongozi mafungu mawili tu kabla ya kuingia kwenye giza.
1. Ni kundi la Nyerere. Kundi hili ni Nyerere mwenyewe na kivuli chake kwa Mjee alisema kiongozi wa Kwanza ataondoka lakini kivuli chake kitatawala kwa muda sawa kama alivyotawala yeye mwenyewe.
2. Kunda la pili ni Kiongozi wa mwingine atakuja alama yake ni mkuki huyu akitawala giza litaigia na machafuko yatatokea. Sifa zake atatokea jua linakozama yani Magharibi mwa Majita. Baada ya giza na ghasia ndipo atakuja kiongozi mzuri wa maendeleo na amani.
Nimeandika kwa ufupi.
Binafsi nauamini utabiri kwa asilimia 100 ila siwezi kuutafasiri.
Kwa utabiri huo kiongozi wa ghasia ana sifa tatu
1. Hamjui Nyerere kwa maana hana mtazamo au unasaba au mapenzi na Nyerere.
2. Atakua na alama ya mkuki.
3. Atatoka Magharibi.