Mjue Mungu wa Freemasonry

Kwanza ni kurekebishe,Msabato sio mlokole.Mkuu as long as you believe you can be saved by the law,that is the Torah,including keeping the Sabath,uko chini ya laana ya Mungu,na uko mbali na Mungu.This is the situation with the Adventists,wako chini ya laana ya Mungu.Infact sio Wakristo it is a cult.

Mwisho,inashangaza kwamba unashangilia upotoshaji na uovu wako umemfanya mtu amuasi Mungu wa kweli na kushikamana na uovu wako.Huu ni uovu of grand scale.Hata hivyo you still have time,tubu uovu wako,muamini Bwana Yesu na utapokea uzima wa milele.
ur still a learner
 
Unaingia kisha unatoka, uweleweki yani unachanganya mno madesa, sasa ngoja nikuelezee kwa hii story yako utaokota wasioijua Bible tu ila kwa wanaojua maandiko uwapati ng'o kwa sababu kuna sehemu aueleweki, na kwa stahili hii Freemasons wamepotea ila nimefurahi kumtambua masihi mwanamume wa wanaume huyo ndio habari ya ulimwengu, na ukiwaona hao madeval warship waambie Yesu ndie njia kweli na uzima....

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Utumwa wa dini unakusumbua
 
Back
Top Bottom