hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,437
Kwenye maandishi yako umejaribu kujitenga sana na hata hivyo maandishi sijayasoma yote nikasema ngoja nipitie comments kidogo kisha nilipofika hapa kwenye comment yako tu nikasema basi! NIMESHAKUELEWAFreemasonry sio wabaya Kama tunavyo aminishwa