MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,236
- 14,205
Anaitwa Anne Jones.
Ni katika mwaka wa 2007, baada ya kuachiwa ujazo wa mwisho wa kitabu cha Harry Potter chenye jumla ya Page 784, Anne alifanikiwa kumaliza kusoma kitabu hicho kwa muda wa Dakika 47 tu.
Kwa maana hiyo, Anne aliweza kusoma Maneno 4,200 kwa dakika. Ina maana, alikuwa na wastani wa kusoma kila page moja kwa sekunde 3 tu.
Kwa kuhakikisha kuwa ameweza kufanya hivyo, aliorodhesha point zote zilizopo kwenye kitabu hicho kwa waandishi wa habari na mwishowe wakaridhia.
Pamoja na kuweka rekodi hiyo, Anne alikuwa akishikilia rekodi ya kuwa mshindi wa mashindano ya dunia ya kusoma haraka (World Championship Speed Reading Competition) kwa mara 6.