ENGLAND: Unai Emery ateuliwa kuchukua mikoba ya Mzee Wenger

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Unai Emery appointed as a new Arsenal manager replacing Arsene Wenger

BBC Sport

Klabu ya Soka ya Arsenal, imemtangaza Unai Emery kuwa kuwa Mwalimu mpya wa timu hiyo

> Hapo awali uongozi wa Klabu ya Arsenal ulikuwa ukimpigia chapuo kocha msaidizi wa Manchester City, Mikel Arteta ambaye pia aliwahi kuwa mchezaji wa washika bunduki hao wa Jiji la London

> Unai Emery mwenye umri wa miaka 46 amechaguliwa kukinoa kikosi hicho baada ya kuondoka kunako Klabu ya Paris St-Germain

> Akiwa PSG alifanikiwa kunyakua ubingwa wa Ufaransa mara 1 na vikombe vinne vya ndani ya nchi hiyo katika kipindi cha miaka miwili

======


Arsenal are set to appoint Unai Emery as their new manager.

Manchester City assistant Mikel Arteta was strong favourite to succeed the outgoing Arsene Wenger.

But following a thorough recruitment process that involved all candidates being spoken to, Emery emerged as the unanimous choice.

The 46-year-old Spaniard is available after leaving Paris St-Germain where he won one Ligue 1 title and four domestic cups in two seasons in charge.

Previously he guided Sevilla to three consecutive Europa League triumphs between 2014 and 2016.

He announced last month he would leave PSG when his contract expired at the end of the season and was replaced by former Borussia Dortmund boss Thomas Tuchel, who had also been linked with the Arsenal job.

Emery's English is not completely fluent but the language barrier is not expected to be a problem.

An announcement and news conference are expected later this week.

The recruitment process was led by Arsenal chief executive Ivan Gazidis, head of football relations Raul Sanllehi and head of recruitment Sven Mislintat
 
Vunja account nunua world class players..ndio uchawi wa soka la sasa
 
Tiba ilikuwa kumtafuta kocha strategic and talented kama Pep guardiola only.

But kwa makocha mediocre kama huyu..arsenal ina decade ya kustruggle tena.
 
Honours

Manager

Club

Sevilla
UEFA Europa League: 2013–14,[51] 2014–15,[24] 2015–16[52]

Copa del Rey: Runner-up 2015–16

Paris Saint-Germain

Ligue 1: 2017–18

Coupe de France: 2016–17, 2017–18

Coupe de la Ligue: 2016–17, 2017–18

Trophée des Champions: 2016, 2017

Individual

Miguel Muñoz Trophy (Segunda División): 2005–06, 2006–07[55]

La Liga Manager of the Month: March 2014,[56] January 2015[57]
European Coach of the Season: 2013–14
UNFP Manager of the Year: 2017–18

Unai sio wa kubezwa wazeee
Psg wanataka kutamba UCL huko ligue 1 hawana mpinzani...
Lete unai hapo
 
33164917_1878329288897723_325753224789229568_n.jpg

Ni bora huyu kuliko arteta
 
DdvqTBiVQAAoBcs.jpg

On 28 June 2016, Emery signed a two-year deal, with the option of a third, to succeed Laurent Blanc at French quadruple-holders Paris Saint-Germain.In his first competitive match in charge, on 6 August, his side beat Lyon 4–1 in Austria to lift the Trophée des Champions.

Emery led PSG to second place in their group of the Champions League, behind Arsenal. In the first knockout round they defeated Barcelona 4–0 at the Parc des Princes,only to historically lose 1–6 in Spain and subsequently be eliminated.

On 1 April, he picked up his second honour with les Rouge-et-Bleu with a 4–1 win over title rivals Monaco in the final of the Coupe de la Ligue. On 28 April 2018, Emery announced his decision to leave the Parisian club at the end of the season with a year left on his contract.
 
Huyu ni moja kati ya makocha wa ovyo kabisa yaani pale Psg alipata kila alichotaka lakin timu ilikuwa inacheza ovyo sana hata kwenye Uefa hamna cha maana alichokifanya. Sasa hapa kwetu Arsenal si ataharibu timu kabisaaa yaani maamuzi ya ovyo sanaaa duuuh.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom