mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,665
- 37,212
Nani amekutisha sasa mbona unajishtukia!!!!nijutie kauli yangu nini acha ujinga. .hivi nyinyi wafia dini mbona mnapenda sana kutishana tishana
Nani amekutisha sasa mbona unajishtukia!!!!nijutie kauli yangu nini acha ujinga. .hivi nyinyi wafia dini mbona mnapenda sana kutishana tishana
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ariel Sharon afariki Dunia.Vp kuhusu yule waziri mkuu wa:zamani wa Israel Ariel Sharon kwa miaka mingi nae alikua hivyo cjui kama alishapona au alikufa?
Asante mkuu kwa taarifa
Ooh pole, nitaitimiza lakini siku si nyingi . Stay tunedMbona ile ahadi haukuitimiza nilisubiri mpk macho yakaanza kulia!!
Nitulize hata kwa busu wakati nikiisubiri kha!Ooh pole, nitaitimiza lakini siku si nyingi . Stay tuned
😘😘Nitulize hata kwa busu wakati nikiisubiri kha!
Ole wako siku nyengine mpk nikuombe..😜😉
HahahaaOle wako siku nyengine mpk nikuombe..😜😉
Kiranga ona anasema Mungu ndiye muweza wa yote, vp unakubali, unakataa au athibitisheUsiseme hivyo na jutia kauli yako. Mungu anafanya kazi yake kwa namna mbali mbali, anakupa shibe wewe mwingine anampatia njaa. Anakuja kifo wewe ananipa uhai Mimi. Aliyekuinua wewe ndie atakae nishusha Mimi.
Yote haya ni kudhirisha ukuu wake, ndie muweza wa yote na ndie muamuzi ya yote. Ndio maana hatupaswi kulaumu Bali yatupasa tushukuru kwa kila jambo.
Kufanya hivyo au kuruhusu yote hayo ni kwamba tumtegemee yeye tu.
Amefariki huyu jamaa?R.I.P
Haya jamaa kafa sasa na dunia nzima imetambua unasemaje hapoAiseee toka nimekuwa jf hakuna mada ambayo akili yangu inasoma negative kuiamini kama hii!!. Miaka 38 kwenye coma! Mke akatae madaktari washindwe kufanya Yao.
Naona tunalazimishana kuwa sayari ya mars wakati bado tupo duniani hapahapa aliposhushwa shetwain..!
Bado umelalakama hii mada inaukweli. .basi huyo mungu mnaye muabudu atakuwa ni katili sana
🤔🤔🤔Punguzeni kujitoa ufahamu basiCNN HAKUNA WALA BANGI?
Tozo tu.Haya jamaa kafa sasa na dunia nzima imetambua unasemaje hapo
Inahuzunisha, ingekuwa Afrika angeshazikwa zamani. Picha ya mkewe tafadhali.BADO AMELALA.
Wakati tunaendelea kufurahia kuzinduka kwa mchezaji wa Ajax ABDELHAK NOURI baada kuwa kwenye Coma kwa takribani miaka miwili akiwa amepoteza fahamu, tukumbuke pia kuna mchezaji mwingine 'Bado amelala'. Anaitwa Jean-Pierre Adams, nyota wa zamani wa PSG na timu ya taifa ya Ufaransa, aliyebarikiwa ngozi adhimu yenye rangi ya thamani kama umuonavyo pichani. Hajui atazinduka lini maana ni miaka 38 sasa amepoteza fahamu asijue nini kinaendelea duniani. Inauma sana!!
Hivyo basi: wadau wa soka ulimwenguni, tukiwemo waafrika hasa wa nchini Senegal mahali alipozaliwa, kwa pamoja tuungane katika kumuomba mwenyezi Mungu ampe afya njema Adams, ili aweze kuzinduka kutoka kwenye Coma na kuungana tena na familia yake aliyoiacha tangu 1982.
Inshallah Adams atafumbua tena na kukuta mambo mengi yamebadilika kwanza atakuta timu yake ya Ufaransa imetwaa kombe la dunia mara mbili. Pia atakuta watoto wake nao wana watoto hivyo ataitwa babu. Pia atamkuta mkewe kabadilika, maana alimuacha akiwa binti lakini sasa ni bibi mwenye zaidi ya miaka 60.
Yote kwa yote, tuendelee kumuomba Mungu ampe uzima Adams, pamoja na kumpa moyo wa ujasiri mke wake, Bernadette, amekuwa akimhudumia tangu 1982 akikataa Adams kufanyiwa 'euthanization' (assisted suicide) akiamini kuwa ipo siku atapona. Huu ni upendo wa hali ya juu! Anastahili sifa na pongezi na Mungu ambariki.
Amina🙏🏿