Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

Temeke yote sijawahi kuielewa, hua naona kama kuna high level ya uhalifu yaan wanaishi maisha ya kimexico mexico, lol,
Keko, Yombo, Tandika, Mbagala, Buza
Hapana panatisha.
kule Kuna watu Wana mikono Kama spana, ukipigwa tanch lazima ukae! ...kibaya wao hawana Cha kupoteza ukija kinunda wanakuchana na viwembe wanasepa!
 
Mkuu nakubaliana na mchangiaji hapo juu hizi dawa zipo na zinafanya kazi, majambazi wengi tu wavamia benki enzi hizo walitumia.

Kuhusu SMG kuna declassified CIA report juu ya waasi wa Mai Mai huko Katanga DRC ambao askari wa serikali walikua wanatoa taarifa kuwa wakipiga risasi haziwagusi kabisa.

Hata kule Ituri katika vita kati ya UPC na majeshi ya serikali kuna watu walikua wakipigwa RPG cjui SMG wanaibuka wazima kabisa.

Na hta commander wao aliuawa naye kwa njia za kimazingara yaani walisubiri muda ambapo miguu yake haipo ardhini, iwe juu ya mti au ndani ya gari ndio akauawa tena na kijana wa miaka 14 tu!!

Hii ni report ya CIA kabisa na nliwahi upload kule JF intelligence. Kwahiyo hzi mambo zipo
Rushwa tu mbona hayo madawa toka Jiwe aseme wanyanganywe bunduki wanaangushwa tu kama migomba.
 
HAYA BISHA NA HAPO; NIMEKUWEKEA VIDEO KABISA

Kweli sisi waafrika ni hovyo kabisa, akili zetu ni rahisi sana kuamini UONGO.---- huo ni UONGO MKUBWA.

Mimi nimetumia hiyo AK 47 na SAR, huo ni UONGO MKUBWA.
SAR (semi automatic rifle) na AK 47, na LMG (light machine gun) zote zinatumia risasi za aina moja na zinatoa mlio mkubwa sana na ina nguvu kubwa ya kurudi nyuma (recoil force), unapotumia hizo silaha na zinginezo ni lazima usiache gape kati ya bega na kitako (but) la sivyo itaporudi nyuma inaweza kukuumiza katika bega na hata kama utaipiga katika "free style" ni lazima ugangamale la sivyo itakuyumbisha na risasi zitatoka hivyo (aimlessly) kwasababu "recoil force" yake ni kubwa.

Katika video hiyo utaona; kwanza, hakuna mlio wa AK 47, pili, recoil force ni ndogo mno, hivyo hapo ni UONGO, ni rashisi sana kuwadanganya watu ambao hawajatumia na wasiojua silaha.

Ipo silaha nyingine (SMG), inaitwa G3.

Huo ni UONGO MTUPU.
 
Wewe usichanganye kati ya Hypnotism (mesmerism) na reality.

Kuna nguvu za hypnotism ambapo zinadanganya macho ya watu, yaani unaweza kuona kitu ndivyo sivyo na hii ndiyo njia wanazotumia Mai mai.

Chukua darasa:- nguvu za hypnotism ndiyo mazingaombwe hii ni ile hali ya kupoteza uono wa macho ya mtu, hali hii ndiyo walitumia wale wachawi wa Nabii Musa (as) kuwadanganya watu na kuwafanya waone kamba zao zimekuwa kama nyoka ni hali hii hii wanayotumia wachawi kufanya mambo yao bila kuonekana, hii ni elimu ambayo mtu anaweza kujifunza, na ndiyo elimu hiyo hiyo inayotumiwa na wachawi kuwachukua misukule.

Sasa kwa Mai mai, nao hutumia njia mfano wa hii kupoteza uoni (sighting) za maadui zao, maadui wao huona wamelenga targets kumbe wale mai mai wameweka dawa zao zinazo wapoteza hao maadui na hivyo huwa wanalenga "off targets".

Kama ingalikuwepo dawa ya kumkinga mtu na risasi basi kusingekuwa na haja ya kutengenezwa kwa "Bullet vest", na waganga wanaojua hiyo dawa wangekuwa mamilionea.

Ukiwapanga watu 6 in line na kupiga risasi kuanzia mtu wa kwanza, risasi itapenya kutoka mtu wa kwanza hadi wa 6 na wote mtakufa, sasa wewe unadai eti kuna mtu anayo dawa ya kujikinga na risasi, huo ni uvumi kama uvumi kwamba Yesu yupo juu mbinguni na siku moja utarudi.
 
Rushwa tu mbona hayo madawa toka Jiwe aseme wanyanganywe bunduki wanaangushwa tu kama migomba.
Mkuu issue ni dawa kufanya kazi, ila hayo ya ujambazi kupungua sababu ni nyingi mfano ''ulinzi'' kuimarishwa, au blackmarket za silaha kubanwa.

Kumbuka hawa majambazi walikua wana mtandao hadi serikalini so nia ya kudhibiti ikawa ndogo.

Ila haibadili ukweli kwamba wakivamia na wametumia dawa basi silaha inadunda unless na askari awe amepikwa upande wa pili.
 
Kweli sisi waafrika ni hovyo kabisa, akili zetu ni rahisi sana kuamini UONGO.---- huo ni UONGO MKUBWA.

Mimi nimetumia hiyo AK 47 na SAR, huo ni UONGO MKUBWA.
SAR (semi automatic rifle) na AK 47, na LMG (light machine gun) zote zinatumia risasi za aina moja na zinatoa mlio mkubwa sana na ina nguvu kubwa ya kurudi nyuma (recoil force), unapotumia hizo silaha na zinginezo ni lazima usiache gape kati ya bega na kitako (but) la sivyo itaporudi nyuma inaweza kukuumiza katika bega na hata kama utaipiga katika "free style" ni lazima ugangamale la sivyo itakuyumbisha na risasi zitatoka hivyo (aimlessly) kwasababu "recoil force" yake ni kubwa.

Katika video hiyo utaona; kwanza, hakuna mlio wa AK 47, pili, recoil force ni ndogo mno, hivyo hapo ni UONGO, ni rashisi sana kuwadanganya watu ambao hawajatumia na wasiojua silaha.

Ipo silaha nyingine (SMG), inaitwa G3.

Huo ni UONGO MTUPU.
Anautani na risasi huyu,si unajua hii ni nchi ya amani,hata mlio wake ukute ajawahi kuhusikia,sauti ya SMG inaweza kukufanya usalimu amri ghafla
 
Mkuu issue ni dawa kufanya kazi, ila hayo ya ujambazi kupungua sababu ni nyingi mfano ''ulinzi'' kuimarishwa, au blackmarket za silaha kubanwa.

Kumbuka hawa majambazi walikua wana mtandao hadi serikalini so nia ya kudhibiti ikawa ndogo.

Ila haibadili ukweli kwamba wakivamia na wametumia dawa basi silaha inadunda unless na askari awe amepikwa upande wa pili.
Mimi ni mtu wa mwisho kuamini huu ujinga wa risasi kudunda.
 
Wewe usichanganye kati ya Hypnotism (mesmerism) na reality.

Kuna nguvu za hypnotism ambapo zinadanganya macho ya watu, yaani unaweza kuona kitu ndivyo sivyo na hii ndiyo njia wanazotumia Mai mai.

Chukua darasa:- nguvu za hypnotism ndiyo mazingaombwe hii ni ile hali ya kupoteza uono wa macho ya mtu, hali hii ndiyo walitumia wale wachawi wa Nabii Musa (as) kuwadanganya watu na kuwafanya waone kamba zao zimekuwa kama nyoka ni hali hii hii wanayotumia wachawi kufanya mambo yao bila kuonekana, hii ni elimu ambayo mtu anaweza kujifunza, na ndiyo elimu hiyo hiyo inayotumiwa na wachawi kuwachukua misukule.

Sasa kwa Mai mai, nao hutumia njia mfano wa hii kupoteza uoni (sighting) za maadui zao, maadui wao huona wamelenga targets kumbe wale mai mai wameweka dawa zao zinazo wapoteza na hivyo huwa wanalenga "off targets".

Kama ingalikuwepo dawa ya kumkinga mtu na risasi basi kusingekuwa na haja ya kutengenezwa kwa "Bullet vest", na waganga wanaojua hiyo dawa wangekuwa mamilionea.

Ukiwapanga watu 6 in line na kupiga risasi kuanzia mtu wa kwanza, risasi itapenya kutoka mtu wa kwanza hadi wa 6 na wote mtakufa, sasa wewe unadai eti kuna mtu ayo dawa ya kujikinga na risasi, huo ni uvumi kama uvumi kwamba Yesu yupo juu mbinguni na siku moja utarudi.
Mkuu acha kukariri theories za darasani wakati practically hivi vitu vipo. Ina maana hao CIA hawajui hili hadi waandike ripoti ya kitafiti kuprove hilo suala? Ww unajua zaidi ya CIA kwamba risasi zilikua zinadunda mpka jamaa aelee hewani?

Mkuu ushirikina unatumika sana kuhusu hao waganga kupata mamilion mbona eapi kuna Dr Mulholland huyu alisimamia operation Mk Ultra iliotumia black magic za kutosha vitu kma telepathy,exorcism na camouflage!! Tafuta kitabu kinaitwa CIA manual for trickery humo utakuta hizi taarifa za jinsi majasusi walivyopikwa kupambana na watu wa aina hii.

Kma humuamini mtoa mada mkuu hapo juu basi angalau waamini hao CIA kidogo wapo credible kwenye masuala ya usalama.
 
Mkuu, nakwambia HAIWEZEKANI mtu apigwe risasi, mfano risasi kutoka bunduki ya AK 47 (Avtomatik kalashnikova/Automatic kashnikov)) na awe salama hayupo mtu huyo.

Kinachofanyika ni nguvu za giza, so to say, zinazotia giza uhalisia, hilo giza ndiyo nguvu inayopoteza target na mtu anashindwa kulenga target halisi, ni hizo nguvu ndizo zinafanya kazi kwa namna hiyo na sio vinginevyo.

Na hata hao CIA wengi wao hawana elimu za aina hiyo ndiyo maana wataeleza jinsi wewe unavyoekeza.

Hakuna dawa ya kuchanja, kunywa, kujipaka, kutambika au whatever ambayo mtu anaweza kunywa na akae mbele ya AK 47 afyatuliwe rissasi na apone hakuna, hakuna!!!.

Wapo watu wanaoweza kukaa mbeke ya Bunduki AK 47 na wakafyatuliwa risasi na wakaonekana kwamba risasi haikuwapiga---- hapo sasa ni mazingaimbwe, yaani yule anayepiga hiyo bunduki anakuwa kazugwa, yeye anaona mtu mbele yake kumbe hyu mtu yupo "off target" ndiyo maana risasi haikumpata sasa hapo ndipo nguvu ya huo uganga/ uchawi/ dawa inaposemwa kwamba imezuia risasi, ni viini macho tu sio reality.

Elimu ya viini macho ipo na inaweza kutumika katika mambo mbalimbali ikiwemo pamoja na jambo hilo, lakini mechanism yake ni kama hivyo nilivyokueleza na sio kwamba eti mtu akae mbele ya Bunduki /risasi, mfano ya G3 ambayo ina nguvu sana kuliko ya AK 47 na awe salama, NEVER EVER will such happen. itakutoboa vibaya na kutokeza upande wa pili na kuacha zinga la shimo, usije ukadanganywa eti kuna dawa ya kujipaka, kunywa, kuoga nk, eti itakukinga risasi isikuingie.
 
wanaume na vijana wa Dar ni shida kweli kweli yaani kipaka mmoja anawasumbua miaka nenda miaka rudi? aloo ebu achene umama na m-ngangamale japo kidogo, yaani apo mlitakiwa mfagie ukoo wake woote
kipaka?
 
Mkuu, nakwambia HAIWEZEKANI mtu apigwe risasi, mfano risasi kutoka bunduki ya AK 47 (Avtomatik kalashnikova/Automatic kashnikov)) na awe salama hayupo mtu huyo.

Kinachofanyika ni nguvu za giza, so to say, zinazotia giza uhalisia, hilo giza ndiyo nguvu inayopoteza target na mtu anashindwa kulenga target halisi, ni hizo nguvu ndizo zinafanya kazi kwa namna hiyo na sio vinginevyo.

Na hata hao CIA wengi wao hawana elimu za aina hiyo ndiyo maana wataeleza jinsi wewe unavyoekeza.

Hakuna dawa ya kuchanja, kunywa, kujipaka, kutambika au whatever ambayo mtu anaweza kunywa na akae mbele ya AK 47 afyatuliwe rissasi na apone hakuna, hakuna!!!.

Wapo watu wanaoweza kukaa mbeke ya Bunduki AK 47 na wakafyatuliwa risasi na wakaonekana kwamba risasi haikuwapiga---- hapo sasa ni mazingaimbwe, yaani yule anayepiga hiyo bunduki anakuwa kazugwa, yeye anaona mtu mbele yake kumbe hyu mtu yupo "off target" ndiyo maana risasi haikumpata sasa hapo ndipo nguvu ya huo uganga/ uchawi/ dawa inaposemwa kwamba imezuia risasi, ni viini macho tu sio reality.

Elimu ya viini macho ipo na inaweza kutumika katika mambo mbalimbali ikiwemo pamoja na jambo hilo, lakini mechanism yake ni kama hivyo nilivyokueleza na sio kwamba eti mtu akae mbele ya Bunduki /risasi, mfano ya G3 ambayo ina nguvu sana kuliko ya AK 47 na awe salama, NEVER EVER will such happen. itakutoboa vibaya na kutokeza upande wa pili na kuacha zinga la shimo, usije ukadanganywa eti kuna dawa ya kujipaka, kunywa, kuoga nk, eti itakukinga risasi isikuingie.
Dawa ya kuzuia risasi hakuna duniani na ikipatikana ndiyo mwisho wa ugaidi
 
Noma sana halafu mchana kutwa alikuwa beach akipiga mazoezi ya hatari, usiku ndiyo alikuwa kazikazi! Hadi vibaka wote wakawa wanakusanya wanampelekea yeye Kama kiongozi.
Dih, basi jamaa alikua noma sana
 
Back
Top Bottom