Mjue Lawrence Malong Lual Yor; mastermind wa fake gold deal

Kyodowe

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
1,189
1,295
Wakuu umuofia kwenu,

Sijui huyu jamaa mtamkumbuka! Aliwahi kutrend sana kwenye mitandao ya kijamii kwa picha zake za anasa akiwa amelalia madollar kitandani na nyingine akiwa mabegi ya dollar kwenye private jet.

To cut story short. Ukisikia ujambazi beyond talent ndiyo huu. Eti mtu kaibiwa dollar million 1.9 kiulaini kabisa.

Mpango wenyewe ulikuwaje!
Baada ya jamaa kujinasibu kuwa ni mtoto wa jenerali Malong ambaye ni kamanda wa cheo cha juu ndani ya jeshi la Sudan kusini, aliweza kupata marafiki wengi sana ambao ni wafanyabiashara nje ya nchi yake. Pia, aliweza kujenga ushawishi mkubwa kwa watu hao kwa kutumia picha aliwazowahi kupiga na watu mashuhuri nchini Sudan akiwemo Salva Kiir na baadhi ya wanajeshi wa jeshi lililo tiifu kwa Salva Kiir ambaye ni wa kabila la Nuers.

Kwa kuwa leo hii Sudan Kusini ni sehemu ya jumuiya ya Afrika Mashariki, naomba niwafahamishe kidogo. Kabila la nuers ni mojawapo ya kabila lenye nguvu sana Sudani kusini.

Nakumbuka miaka ya 2000 tukiwa college, darasani tulikuwa wasudan sita (wawili kutoka kaskazini na wanne kutoka Sudan kusini) ambao kati ya wale wa kusini, watatu walikuwa wanuer na mmoja mdinka.

Interesting ni kuwa, hoja zao kinzani zilinifungua sana kuifahamu Sudan Kusini, lakini pia nikagundua ni namna gani hawa jamii ya waNuer walivyo smart.

Kwa Afrika Mashariki unaweza kuwapamvanisha tu labda na kabila la MK254. Na hata ukilicheki vizuri jina la huyu mpiga dili utagundua pia naye ni wa kabila la nuer.

Jamaa aliwezaje kuwaibia watu dollar million 1.9? Story kamili hii hapa;

https://mobile.nation.co.ke/news/africa/Inside-DRC-gold-scams/3126394-5050790-emondh/index.html
3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama lengo ni kusifia kabla kwa kutumia mfano wa huyo jamaa umefeli, huyo jamaa ana iq mdogo sana

Kama hakuamini kacheki interview yake aliyohojiwa citizen, ni jamaa ambae vitu abamiliki vitu vya gharama kwa sababu Mjomba wake ana cheo kikubwa jeshini ila akili yake haina thamani kabisa.

Kisaikolojia, mtu anaepiga picha na mipesa huwa anataka kuwakomoa watu wanaomdharau au kumkejeli, huyu jamaa anachofanya kwa hizo picha ni kuwakomoa watu wanaomwambiaga ukweli kwamba yeye hana akili
 
Back
Top Bottom