Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,627
- 154,992
Jina Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya au Mkushi sio jina maarufu kama walivyo wanasiasa, wanamichezo na wasanii.
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya a.k.a Mkushi, yeye ndio muasisi wa makundi zogozi yanayojulikana kwa jina la Waafrika Tujitambue, ambapo amekuwa akifundisha mambo mbalimbali juu ya historia ya mtu mweusi, namna alivyokuwa kinara wa Mapinduzi ya ustaarabu na teknolojia duniani.
Lakini kutokana na husda na fitna za husda za NYAHUNI au mtu mweupe, akautweza utu wa mtu mweusi na kumsahaulisha kabisa asili yake kwa kutumia dini za Ukristo na Uislam.
NYAHUNI waliwakata mikono watu wote waliotokea kwenye koo za wahunzi.
Hizi harakati zina nia njema sana, lakini sidhani kama zitawafurahisha mabeberu