Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

Habarini wana jamvi!

Kwakweli nimefurahishwa sana na huyu mpambe wa Rais Samia Suluhu.Kwa kifupi ana mbwembwe si mchezo!

Mara ainuke amrekebishe kilemba,Mara amvalishe barakoa,Mara amrekebishe nguo!.

Kwa kifupi hatulii kabisa! Yaani ni burudani!

Uzi tayari
 
Mara amiminie maji kwenye glass, mara usiku ampigie simu kumuuliza kama amelala, mara ....
 
Habarini wana jamvi!

Kwakweli nimefurahishwa sana na huyu mpambe wa Rais Samia Suluhu.Kwa kifupi ana mbwembwe si mchezo! Mara ainuke amrekebishe kilemba,Mara amvalishe barakoa,Mara amrekebishe nguo!...
Kwa kifupi hatulii kabisa! Yaani ni burudani!

Uzi tayari
Hapo amemjulia Samia. Maana hivyo vitu huwa anavipenda sana
 
Hakuna kazi nzuri na bora kama kumhudumia RAIS WA NCHI.....

Kule kutumika KUMFANYA AWE MTULIVU ndiko kulitumikia TAIFA LAKO NA WANANCHI WENZAKO......

Mwenyezi Mungu ambariki na kumpa afya mpambe huyo wa Rais wetu msikivu mh.SSH aaamin aaaamin🙏

#SiempreJMT
 
Rais msikivu? Akili yako ya mbu wewe
 
Enzi zenu zimekwisha sasa iliyobaki mjiandae kurudi kwenu koromitje mkalime mihogo tu
Unaonaje mama anavyowakomesha mataga na sukuma gang?

Kwisha habari yenu! Magaidi sasa yako lupango
 
Back
Top Bottom