Mjue Joseph Kabila Kabange rais wa Jamhuri ya watu wa Congo

emmanuel1976

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
301
79
Joseph Kabila jina lake halisi anaitwa Hypolite Christofer Kanambe, raia wa Rwanda, kabila lake mtusi. Babake anaitwa Adrien Christofer Kanambe. Inakuwaje mtu ambaye si raia wa Kongo DRC kuiongoza nchi hiyo kama rais?
 
Mbona watu wanawajua wakina Kabila sana na wamekaa na kosoma bongo kwa muda mrefu tu. Huyu raisi ni mtoto wa kabilana niwa congo. Hata watanzania wengi wana majini ya nchi nyingine kama Kenya, Rwanda, Malawi, Zambia, Burundi, Congo n.k lakini haina maana wewe ni mkongo. Kama unataka kumpa uraia wa nchi nyingine basi itakuwa Tanzania maana amekulia karibu maisha yake yote Tanzania.
 
Ni kweli Kabila mkubwa hakuwa baba yake mzazi. Kuna wanaosema baba yake ni mnyarwanda na kuna wasemao baba yake ni mbongo. Sasa hatujui which is which
 
Suala sio kufanana majina, ungeuliza ili upewe story. Si nimemtaja babake raia wa Rwanda na mamake mzazi anaitwa Macelina, ni kweli wamewahi kuishi Msasani huko Dar es salaam
 
Mbona watu wanawajua wakina Kabila sana na wamekaa na kosoma bongo kwa muda mrefu tu. Huyu raisi ni mtoto wa kabilana niwa congo. Hata watanzania wengi wana majini ya nchi nyingine kama Kenya, Rwanda, Malawi, Zambia, Burundi, Congo n.k lakini haina maana wewe ni mkongo. Kama unataka kumpa uraia wa nchi nyingine basi itakuwa Tanzania maana amekulia karibu maisha yake yote Tanzania.

Mkuu majini nilidhani alikuwa marehemu peke yake? hii hoja haiwezi kuisaidia tanzania labda kama mtoa hoja anahisa congo na rwanda!
 
Unajua masuala kama haya karibu pia yatatokea hapa Tanzania, huwenda 2015 tukaongozwa na mkenya ama mganda nk. Kuna raia wengi sana kutoka nchi zinazotuzunguka wameingia nchini kinyamela na wamepata vitabulisho vya kupiga kura, vyeti vya kuzaliwa na hata passport. Nimewahi kutoa taarifa za watu kadhaa waliopo nchini na hawakuchukuliwa hatua na sasa ni raia wa Tanzania kienyeji. Ni aibu kubwa, sasa wamenunua mashamba hapa TZ, na wanaendesha miradi kama watanzania. Serikali iko wapi?
 
Jamani nivyofahamu mimi Mama yake Joseph Kabila anaitwa Sifa (Mama Sifa), ambaye ni mke wa kwanza wa mzee kabila. Joseph kabila ni mtoto wa mzee Kabila aliyezaa na Mama Sifa. Pia mzee Kabila alizaa na Mwanamuziki Tshela Mwana. Joseph Kabila anajulikana R.D.C Kwa jina la Joseph Kabila Kabange sasa jina lilotajwa na mtoa mada mbona halifanani hata moja?
 
Joseph Kabila jina lake halisi anaitwa Hypolite Christofer Kanambe, raia wa Rwanda, kabila lake mtusi. Babake anaitwa Adrien Christofer Kanambe. Inakuwaje mtu ambaye si raia wa Kongo DRC kuiongoza nchi hiyo kama rais?
mhhh this is brand new from the box.
 
Mbona baba yake (Mzee Kabila) hakumkana, au naye alikuwa hajui kuwa si wa kwake!?
 
Jamani nivyofahamu mimi Mama yake Joseph Kabila anaitwa Sifa (Mama Sifa), ambaye ni mke wa kwanza wa mzee kabila. Joseph kabila ni mtoto wa mzee Kabila aliyezaa na Mama Sifa. Pia mzee Kabila alizaa na Mwanamuziki Tshela Mwana hivyo mtoa mada atufafanulie zaidi.
Sio lazima unavyojua iwe ndio sahihi, ni kweli mke wa kwanza wa hayati Kabila anaitwa Sifa Mahanya, Babake Joseph Kabila ambaye ni Adrien Christofer Kanambe alihukumiwa kifo na mahakama ya kijeshi ya PRP chama cha kijeshi cha Laurent Kabila na ndipo Laurent Kabila alipomchukua Macelina mama mzazi wa Joseph Kabila (Hypolite Christofer Kanambe) na kumpeleka Msasani, Dar es salaam akiwa na watoto wawili...Joseph Kabila na dada yake baadaye Laurent Kabila alimtwaa Maceline kama mke wake. Umeelewa?
 
Back
Top Bottom