Mjue Joe Rwamirama, binadamu pekee kutoka Kampala Uganda ambaye ushuzi wake unaua mbu

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,065
Je umewahi kusikia vijambo (ushuzi) ni dawa ..
Joe Rwamirama mwenye umri wa miaka 48,kutoka Kampala nchini Uganda ndio pekee ambaye akijamba au kutoa ushuzi unaua mbu..aliwahai kuajiriwa na kampuni ya kutengeneza dawa ya mbu ili kuchunguza kemikali aliyonayo kwenye ushuzi wake

Unaambiwa katika kijiji anachoishi hakuna mtu ambaye amewahi kuugua malaria kwa kuwa ushuzi wake unauwezo wa kuua mbu akiwa umbali wa mita 6...Joe anasema anakula chakula cha kawaida na anajamba tu kama watu wengine lakini anashangaa hata wakati akiwa anakula mezani hata nzi hufa wakimsogelea mguuni.

===
Man whose farts 'can kill mosquitoes six metres away hired to create new repellent'

0_Aedes-aegypti-biting-human-skin.jpg


Joe Rwamirama, 48, from Kampala, Uganda claims that his farts can kill mosquitoes up to six metres away, and that he’s been hired by a manufacturing company to help develop a new repellent

They’re one of the deadliest animals in the world, but mosquitoes could soon be wiped out - thanks to one man’s farts .

Joe Rwamirama, 48, from Kampala, Uganda claims that his farts can kill mosquitoes up to six metres away, and that he’s been hired by a manufacturing company to help develop a new repellent.

The reason for Joe’s strange insect-killing farts remains unclear, and he claims that his farts are ‘just like everyone else.’

Speaking to talkofnaija.com , he said: “I eat ordinary food just like everyone else but no insect can lay a foot on me, not even a fly.

“I smell like a normal man and I bathe daily and my farts are just like everyone else, they are only dangerous to small insects and especially mosquitoes.”

0_Mosquito-killer-farts.jpg

Joe Rwamirama

His special skill is well known across Kampala, according to local barber, James Yoweri.

Speaking to The Sun , he said: "He is known all over the city as the man who can kill mosquitoes with his farts. When Joe is around we all know that mosquitoes will vanish.

“He is respectful of people around him and will only fart when there are mosquitoes around which bring malaria. His farts gets rid of this disease."

While the identity of the manufacturing company remains a mystery, Mr Rwamirama claims that they’re paying him ‘millions’ to help create a new repellent.
 
Unapoleta habari jukwaani andika ukweli ili usipotoshe watu
Unasema 6 miles away
Link inasema 6 metres away
Unadanganya kwa faida ya nani!?
N human error...na muda mwingine simu ishazoea kuandika mita badala ya mile ...hivyo n kosa dogo la kiuandishi
 
Back
Top Bottom