Mjue Jini anaetumika zaidi katika kamari: MINOSON

Naomba niwatahadharishe wale msiojua chochote kuhusu uchawi au majini.Yaweza kuwa umezaliwa mjini na hujawahi kumbwa na jambo lolote la ki-mauza uza au la kiuchawi, pengine ulizaliwa kijijini na ukapata bahati ya kutopata msukosuko wowote ktk dunia hii NINAWAOMBA MUMSHUKURU MUNGU NA MKAE KIMYA.
Kama mnabisha kwa7bu ya imani ya dini vitabu vitakatifu Bible &Qur'an vinatambua uwepo wa uchawi, majini etc.
Ninawaomba mchunge ndimi na midomo yenu, usijejikuta unageuzwa kuwa BWABWA na akati wewe ni lijali, msiwadhihaki msiowajua unaweza liwa kiboga ukiwa ofisini au popote.
Yupo mwl wa s/m msingi flani alifika akakuta wanafunzi hawachapwi yeye akaanza kuwatandika huku akitoa maneno ya kejeli kama ninazoziona humu dhidi ya rakims alijikuta kalala mtoni na anaelea juu bila shuka lake kulowana.
Sasa kama hukuwahi kukumbwa na hayo na hujawahi shuhudia hayo ni vema ukakaa kimya usijewalazimisha watu kukutwanga na nyundo ya fatuma akati una ukinzani wa KIROBOTO ukaishia kuyeyuka.
Acha vitisho visivyo na maana. Wachawi wengi huwa mnakuwa na akili ndogo na maisha ya kuunga unga sana.
 
Negative quotes bila kufikiria ni upumbavu wa hali ya juu, lakini wajinga wengi tabia zao ni kuwaza na kama wangekuwa na akili wangeacha kuwaza wakaanza kufikiria.
Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza hapa kupata tongotongo la paka Tena mweusi.

Paka anatabia ya kunawa uso kila dakika, Sasa kulipata tongotongo siyo mchezo, inahitaji timing ya Hali ya juu mno.

Uzi mzuri.
 
Mkuu ukiwatafuta wamasai wale wanauza madawa hii ni kazi ndogo kwao muhimu uwaeleze tu unataka kulingana na siku gani?

Rakims
 
Wewe Rakims, Muogope Mungu, huu uongo wako utakupeleka Jehanamu, Ujue uongo ni Ushirikina nayo ni dhambi kubwa ukifa nayo Allah hatokusamehe siku ya kiyama.

Achana kabisa na imani za kupotosha watu, imani za kishirikina na kishetani.

Ewe, Rakims, Muogope Allah. Achana na huo upotoshaji kuwapoteza watu wasimjue Allah na wajue na kuabudu majinni na imani za uongo za majinni.

Nasema nitumie hayo majinni yako yaje kunidhuru huku nilipo kama kweli wewe unasema mambo ya ukweli, acha huo uongo.
Mkuu kwani kaongee uongo gani....au hujamuelewa?

Anaweza akakutumia majini yakakudhuri pia yanaweza yasikudhuru yote ni mipango ya Allah.
 
Kwamaana unakanusha kwamba majini hayapo au yeye hamiliki majini..?

Majini wapo/yapo, lakini sio kwa namna huyo ndugu anavyoyaeleza, anayeeleza kwa njia ya upotoshaji mkubwa. Anadai jinni linaweza kuumbwa/kutengenezwa na linaweza kufugwa na kikatumwa kufanya jambo fulani,anadai/wanadai kuna jinni mahaba, jinn subiani, makata nk.--- pia wanahusisha maruhani au mapepo yanayowashika hasa akina dada kwamba ni majinni yanayotoka nje na kumuingia huyo dada kichwani nk, ilmuradi ni upotoshaji mtupu kuhusu what the jinns are!!.
 
Mkuu ni kweli nimezungumzia majini lakini si kipuuzi kama katika madai yako yaliojaa uchochezi na yasio na hekima yoyote ya uelewa

Mkuu, Rakims. Kwanza napenda kukuomba radhi kama nitakuwa nimekuudhi kwa namna nilivyowaelezea majini kinyume na maelezo yako.

Sasa ili kuweka rekodi sawa nakuomba unieleze majini ni viumbe gani, wanafananaje, shughuli zao ni zipi nk, kwa ufupi ili nami nijifunze kutoka kwako kwani yawezekana sijui kitu juu ya majini. Nasubiri.

Shukrani.
 
Tafuta vitabu Soma vizuri vitabu vitukufu kwanza vya dini zote kuhusu majini kisha usome historia ya watu waliowahi kuchunguza kuhusu majini na articles mbali mbali kuhusu wao kisha unganisha na zawadi kubwa aliyokuruzuku aliye kuumba ubongo.
utatambua kuwa 85% ya masomo hayo wanazungumzia mashetani(waliokufuru ambao dini jirani wanawaita malaika waasi) na kwa 15% utaona wanazungumzia jamii ya hao walioamini.
Na unaposoma jitahidi kujua unasoma kuhusu majini na sio mapepo

Sina cha kukujuza kuhusu wao maana maneno yangu si sheria ambayo baada ya kuandika ukayafuta hakuna nitakacho fanya zaidi ya kupoteza muda, hii ni jamii intelligence unaandika thread watu wanasoma na kufanya uchunguzi kila kona kisha wanakuja kuquote mbivu na mbichi

NB:
Elimu kujifunza ni bora zaidi. Kuitumia au kuifuata ndio huishia either kushukuru au kukufuru, hivyo punguzeni kuhukumu watu wanaotumia username fake kwenye mitandao ya kijamii.

Mimi sielewi umeandika nini!!, ninakuona kama mtu usiyejiamini na mwenye khofu, khofu ya nini kama unachosema na kukiamini kina ukweli??!!
 
Back
Top Bottom