Mjue Jimmy Wanjigi: Jambazi Ambaye ni Mwendani Wa Raila na Financier Wa NASA

yangu macho tuu..

1415323111350
 
Kuna Jambo ambalo Magufuli alisema na ningeomba utafute video hiyo. In short, "Mwizi ni Mwizi tu." Hata awe na migodi, mwizi ni mwizi tu. Jacob Juma alikuwa na biashara kama ile ya Wanjigi. Katika utengenezaji wa referral hospital kule Eldoret, Jacob Juma alitaka ale 5% ya tender (800 Million Shillings.) Tofauti kati ya Wanjigi na JJ ni kuwa Wanjigi ni mwizi mwenye akili na tena alilelewa kwa fedha nyingi sana kwani babake alikuwa waziri wakati fulani. JJ alikuwa mwizi aliyeangukia pesa mara moja tu. Kuna tofauti kubwa kati ya Old money na New Money

Wakati Jubilee iliingi madarakani, Balala alimnyang'anya JJ migodi yake na licenses zake kufutiliwa mbali. Mahakama ilisemaje kuhusu hilo?

Kuna wakati ilikuwa apewe $5 Mullion kwa kusupply hewa kwa NCPB. Hawa ndio heros wa NASA
CORTEC SPECIAL LICENSE WAS LAWFULLY NULLIFIED, COURT RULES. | Nairobi Times
Cortec loses mining licence in court suit
Mkuu ungeandika hii comment bila Ku quote Uzi wote maandishi yako yasingesomeka????
 
And all under licenced by the assigned institution in Kenya. His only sin is giving a support to a Luo candidate while being born a Kikuyu.
76250ba44579738b1dff67a45cf66ebe.jpg
we jamaa sisi si wajinga hebu muone raila....hamna nchi yoyote unaeza pewa license ya m5 rifle usikubali vitu kirahisi tu ivo
 
Wakenya mnapenda ujinga sana,yaani anyone close to Rails,analink naMagufuli,mnasubiri muanze kuchinjana mseme Magufuli kasababisha,kufeñi wenyewe,[HASHTAG]#leave[/HASHTAG] Magu alone.
Hivi huyu jamaa ana pita influence ya Rostam kipindi cha JK?
 
Wakenya mnapenda ujinga sana,yaani anyone close to Rails,analink naMagufuli,mnasubiri muanze kuchinjana mseme Magufuli kasababisha,kufeñi wenyewe,[HASHTAG]#leave[/HASHTAG] Magu alone.
Soundtrack ya RAO ana tallying center Kigamboni imechuja!
 
Back
Top Bottom