Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,001
- 9,862
Ni mijusi wanaopatikana kwa wingi Marekani ya Kati na Kusini, ni mijusi aina ya Basiliscus basiliscus, wanatoka katika familia ya Corytophanidae
Mjusi huyu anaweza kutembea/kukimbia juu ya maji hadi mita 20 kwa kutumia miguu yake ya nyuma huku mwili wake ukibaki jua anapokuwa anawakimbia adui zake
Baada ya mita 20 anaweza kuzama, lakini ana uwezo wa kubana pumzi kwa dakika 30, hivyo akizama huogelea ndani ya maji ili kufika nchi kavu
Jina lake la kisayansi ni Basiliscus, lilitokana na neno la kiyunani basilískos linalomaanisha ‘mfalme mdogo’