Mjue fundi MASHUHURI wa Kushona VAZI rasmi la CHADEMA(CDM) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjue fundi MASHUHURI wa Kushona VAZI rasmi la CHADEMA(CDM)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lu-ma-ga, Jun 7, 2011.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Jana kuna wadau walihitaji kupata contacts za yule fundi anayeshona VAZI la CHADEMA (MAGWANDA).

  bASI NAWALETEA MAWASILIANO YAKE ILI KWA YEYOTE ANAYEHITAJI AWEZE KUWASILIANA NAYE.

  Yeye yuko Tunduma namba yake ya simu ni +255 754 649 025
  Kwa yeyote anayehitaji kupata magwanda awasiliane naye kwa namba hiyo
  Karibuni

   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  safi sana, mimi naoda magwanda kibao nifunge duka langu niwauzie wana chadema wenzangu, watoto, vijana wake kwa waume. asante sana kwa info.

  niko ki biashara zaidi ila mkeleketwa numberi moja wa mabadiliko katika nchi yetu - chadema hoyeeeeeeeeeee
   
Loading...