Uchaguzi 2020 Mjue Dkt. Juma Mohammed mtia nia ubunge Tunduru Kaskazini

goukun wadey

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
241
284
Anaitwa Dkt. Juma Mohammedi, mtu pekee anaetosha na aliekusudia kuwaletea mageuzi na naendelea ya ukweli wana Tunduru Kaskazini, wengi ni watashangaa analetaje mageuzi ya kimaendeleo katika jimbo ambalo litakuwa jambo geni!

Ukipata wasaa wa kukutana nae jipe muda umsikilize hata kidogo kwa vile muda halisi wa kuanza kampeni bado, hapo hapo utagundua TUNU hii kwa wana Tunduru ambayo ilikosekana kwa miongo mingi kutoka kwa kijana huyu msomi na mhadhiri ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Ni suala la muda mchache chu watu watasahau uwepo wa watangulizi ambao kwa hakika waliwapotezea muda wana Tunduru bila ya kuleta matokeo chanya katika uwakilishi wao.

Anayejua zaidi ya hivi atujulishe tafadhari maana sifa zake wengine zimetukuna.

IMG-20200704-WA0000~2.jpg
 
goukun wadey,

Kwani mbunge aliyemaliza muda wake ana mapungufu gani mpaka ionekane kuwa huyu mtia nia moya anafaa zaidi yake.

Pia ni kwa nini ile busara iliyotumika kutoa fomu moja kwa mtia nia nafasi ya uraisi isitumike pia hapo Tunduru (K) ili mbunge anayemaliza muda akapate kuitekeleza ilani ipasavyo akiwa sambamba pamoja naye?
 
CCM tumekubaliana kuwa form itatolewa moja kwa ngazi zote. Hii ndiyo democrasia yetu. Nafasi moja tumetoa tayari, bado hizi ngazi mbili zilizobaki yaani udiwani na ubunge nazo tutatoa nafasi moja tu. Sisi tumekomaa democrasia, huko chadema uwenyekiti tu hakukuwa na democrasia kabisa yaani. Igeni ccm ili democrasia ikomae nchini.

Sisi watanzania tupo kivyetu vyetu hatuwezi kuiga ya majirani zetu malawi na kenya ambako democrasia imeharibika kabisa. Samahani watu wa Tunduru nimeingilia uzi wenu. Samahani mashemeji
 
Kwani mbunge aliyemaliza muda wake ana mapungufu gani mpaka ionekane kuwa huyu mtia nia moya anafaa zaidi yake.

Pia ni kwa nini ile busara iliyotumika kutoa fomu moja kwa mtia nia nafasi ya uraisi isitumike pia hapo Tunduru (K) ili mbunge anayemaliza muda akapate kuitekeleza ilani ipasavyo akiwa sambamba pamoja naye?
Mbenge, umeng'ata unataka kututoa kwenye nukta; hatutaki wewe unamfahamu ki namna gani huyu
 
Tunduru tumekusamehe, bali hapa ni kama CCM Zanzibar. Je unamjua dr Juma Mohammed? Tusije kumpoteza kama tulivyokesea awamu zilizopita.
 
Huu uzi ni wa dr Juma Mohammedi kama unamjua zaidi tumfahamu
Najaribu kuweka uhalisia uliopo huku, mimi sio kwetu na kwasababu naona na hakusikia pia, wakazi wa Tunduru siku izi wameamka chama cha Mapinduzi ndio kimeshuka tama.

Kama atafanikiwa kupitishwa kwenye kamati kuu ya chama chake inshaallah Dr. Ubunge ni wakwake, kwasababu ata aliyepo sasa hatumuelewi.
 
Huyu amenifundisha udsm jamaa ana nyodo balaa anyway labda kwa sababu sisi tulikuwa wanafunzi yeye mwalimu.
Huyu anafaa sana. Mimi pia amenifundisha,issue ya nyodo ni mtazamo,maana inawezekana ulikuwa kilaza. Huyu Dr Juma ninamfahamu vizuri,amesoma Mkwawa nikakutana naye huko,akasoma Uclas nikakutana naye huko,kutokana na weledi alionao,Udsm wakamuona wakamchukua wakamsomesha na kumtumia hadi anapata PhD yake pale hadi akawa na cheo pale,yote hiyo ni kutokana na weledi alionao.

Tunduru kunamfaa sana huyu.
Namfahamu vizuri.
Hana hulka.
Ni mpole.
Chagua Dr Juma uone maendeleo.
 
Back
Top Bottom