Mjue Bloody Mary: Mzimu unaoweza kutokea iwapo ukimuita mara tatu kwenye kioo

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,074
3,735
Bloody Mary ni mzimu ambao unatokea iwapo ukamuita mara tatu kwenye kioo. Mzimu huu unasemekana ni mwanamke ambaye alikuwa anaitwa Mary aliyefariki miaka mingi iliyopita.

Jinsi ya kumuita Bloody Mary:

- Kuwa kwenye kioo ambacho kiko kwenye giza kama masaa mawili hivi

- Hakikisha umezima taa zote kuwe na giza totoro kama vile giza ambalo umeme umekatika huoni kitu

- Hakikisha kwenye hicho chumba uko peke yako hakuna mtu yeyote ambaye yupo halafu kwa sauti ya taratibu anza kuita Bloody mary, bloody mary, bloody mary, bloody mary, kisha utahisi kuna kitu cha tofauti ndani hapo ulipo, utahisi hauko peke yako, utahisi kuna mtu mwingine ila kwakuwa ni giza totoro hautaweza ona kitu chochote..

- Sasa wacha taa halafu angalia kwenye kioo utamuona Bloody mary.

Fanya hivyo then unipe mrejesho

==============

Historia yake

Bloody Mary ameanzia Uingereza miaka ya 1600 ambapo alikuwa anaishi kijiji kimoja na huyu Mary alikuwa ni mganga. Wanakijiji walimuita Bloody Mary kwa sababu ya methods zake za orthodox healing..

Siku moja usiku wakati Bloody Mary anaendelea na kazi zake, kuna mtoto mdogo wa kike alipotea ndani ya nyumba yake, kwa hiyo wanakijiji wakaamini kuwa mhusika wa kupotea mtoto yule ni Bloody Mary..

Wanakijiji wakakasirika. Usiku mmoja wakaenda kwenye nyumba ya Bloody Mary wakamuua kwa kumkatakata na kuvuja damu nyingi mpaka kifo chake.

Baada ya siku kadhaa kuna vitu visivyoeleweka vikaanza kuonekana kijijini hapo. Maiti za watu na wanyama zilikuwa zinapatikana kijijini hapo na dimbwi la damu pembeni yao maiti hizo. Qakaamini kuwa mauaji hayo yalitokana na mzimu wa Bloody Mary.

=========

Maelezo kuhusu Bloody Mary kutoka Wikipedia:

Bloody Mary is a folklore legend consisting of a ghost, phantom or spirit conjured to reveal the future. She is said to appear in a mirror when her name is called three times. The Bloody Mary apparition may be benign or malevolent, depending on historic variations of the legend. The Bloody Mary appearances are mostly "witnessed" in group participation games.

Ritual
Historically, the ritual encouraged young women to walk up a flight of stairs backwards while holding a candle and a hand mirror, in a darkened house. As they gazed into the mirror, they were supposed to be able to catch a view of their future husband's face.There was, however, a chance that they would see a skull (or the face of the Grim Reaper) instead, indicating that they were destined to die before they would have the chance to marry.

In the ritual of today, Bloody Mary allegedly appears to individuals or groups who ritualistically invoke her name in an act of catoptromancy.

This is done by repeatedly chanting her name in a mirror placed in a dimly-lit or candle-lit room. The Bloody Mary apparition allegedly appears as a corpse, a witch or ghost; can be friendly or evil; and is sometimes "seen" covered in blood.

The lore surrounding the ritual states that participants may endure the apparition screaming at them, cursing them, strangling them, stealing their soul, drinking their blood or scratching their eyes out.

The modern legend of Hanako-san in Japan strongly parallels the Bloody Mary mythology.

A modern addition of taunting Bloody Mary regarding her baby indicates the legendary figure's conflation with the historic figure, Queen Mary I, also known as "Bloody Mary", whose life was marked by a number of miscarriages or false pregnancies and is remembered for her violent religious reforms.

Phenomenon explained
Staring into a mirror in a dimly-lit room for a prolonged period can cause one to hallucinate.Facial features may appear to "melt", distort, disappear, and rotate, while other hallucinatory elements, such as animal or strange faces, may appear.

Giovanni Caputo writes that this phenomenon, which he calls the "strange-face illusion", is believed to be a consequence of a "dissociative identity effect", which causes the brain's facial-recognition system to misfire in an as-yet unidentified way.[7] Other possible explanations for the phenomena include illusions attributed, at least partially, to the perceptual effects of Troxler's fading, and possibly self-hypnosis.

In popular culture
Main article: Bloody Mary folklore in popular culture
The legend of Bloody Mary has served as inspiration for a number of movies and television shows dealing with the supernatural..
 
Atakuwa mzuri sana yaani akija gizani lazima nimgegede hata bao mbili ndo arudi kuzimu
 
Sasa uketi gizani masaa mawili kimya ukimuwaza huyo nani sijui? Si lazma umuone? Manake unaanza kama kudata kiaina.

Huyo mama akija atakuwa analipa kodi ya nyumba. Kama unaishi nyumba yako atakuwa anapala rangi nyumba, anabadili mapazia na kuweka furniture mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom