Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Bikira maana yake ni hali ya kitu kutokuwa kimetumika. Sasa tatizo lililopo hapa ni watu kuelekeza maana hiyo kwa mwanamke ambaye hajawahi fanya mapenzi tu. Na ikitumika mahala pengine huonekana kama lugha chafu au isiyostahili. Huyu anajiita bikira wa kisukuma kwa sababu yeye anaamini ni msukuma mwenye vipaji vingi sana ikiwemo kuandika, kuimba, kutangaza, kunadi, na vingine vingi. Ila mpaka sasa havijatumika vyote. So anaubikira katika vipaji vyake. Nadhani utakuwa umenielewa mkuu.
wewe ndiyeeeee?? Ama tumngoje mwingine????? In John the Baptist voice
 
Jina lake halisi ni Seth G. Katende, nimesoma naye Aza boy na Tambaza. Jamaa enzi za shule alikuwa ni smart, pia alikuwa anajiita bikra tangu Tambaza.

mkuu sio seth G.ni seth steven katende.BTW mkaka anajitahd na kaz zake...wanaodhani ni gay wanamtafsiri vibaya Kwa Kweli
 
Dah!kazi kwelikweli usidhani ni mwanaume coz ana vaa suruali hata madada wanavaa usidhani mwanaume coz ana MPINI coz hata mashoga wanayo usidhani ni wanamume kamili coz wanachukua mademu kumbuka wapo mchichamwiba nachoka kabisa.
 
Kwani wanaume hawana Bikira Lols..
Mkuu mwanaume normally anatakiwa kujulikana kwamba ni "RIJALI",bikira inawahusu ninyi dadazetu na si vinginevyo,ni ajabu kijana aanze kujiita "BIKIRA" it means anajishuku sio mzima mahali ndo maana anajishtukia kujinadi yeye ni bikira,mwanaume wa ukweli anajisifia urijali sio ubikira,bikira awaachie dadazake(kama wanazo)wajigambe nazo sio yeye mtoto wa kiume.
 
Ninamfahamu huyu jamaa sana! Ni mtu mmoja fresh na kiukweli ana akili sanaaa tena sanaa sio kidogo...huyu ni graduate wa mambo ya biashara toka Tumaini University Iringa...amefanya kazi Exim, Bank M, Mbeya Cement, Twiga Cement, Airtel , Voda, Heineken hii yote ni ndani ya six au seven years...akaamua kuacha kazi na kuutafuta umaarufu mjini....washkaji wengi wanamkimbia kwa sababu wanaona kama anawaaibisha maana uwezo wake kichwani hakufaa aongozane na watu anaoongozana nao...hakupaswa kujirahisisha kutafuta cheap publicity...
Ila wengi hawajui kuwa haayo mafanikio wanayoyataja ya huyu jamaa ni ya online kwenye social media..yaani mbali na hapo jamaa hana mafanikio yoyote...labda kuwa na gari! ana akili sana lkn hajui kupanga maisha yake sidhani kama anaogopa kesho....anazeeka na ustaa anaacha kufanya mambo ya maana japo ana nafasi nyingi za kuingiza fedha sababu ana akili na anajua kutumia fursa....huyo utakuta hata pa kuishi hana anaishi kwa mtu...Seth it's high time now...ujidefine, ujue umekua...get yourself a home...au kampe company mdingi Changanyikeni....boresha geto lako pale nje kwa mzee...get a life...nadhani redioni uko vzr, andika vitabu, start a talk show or something....you can go far...achana na hii cheap publicity ya kumsaka Wema sijui Diamond....cha mwisho Seth umekuzwa kanisani...usimuache Mungu...cheap publicity isikutenge na muumba wako! rudi kanisani...ukimaliza starehe zako mtaani rudi kanisani japo once per week...sali...your mum will be proud where she is akijua hujaacha muongozo aliokupa! kila la kheri bikira...sina ukakasi na jina lako naona liko poa tu!
 
Baba Furaha utakuwa umejoin special kwa ajili ya hii issue, jamaa atakuwa amekusoma vizuri sana.
 
Majina mengine hata siyo kwa wanaume,anawapa watu maswali yasio yalazima au sijui ndio umaarufu wenyewe huo ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom