Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Ye alisema lengo lake halikua kuajiriwa bali kujiajiri kuwa na kitu chake na aliamua kutumia mitandao ya kijamii kujitangaza.. enzi za facebook huko.. Ndio maana alichagua jina la Bikra wa kisukuma akiamini lita pata attention kwa watu wengi na pia kwa aina ya post atakazokua anaweka..

Mwisho wa siku jina likakua akaona haina haja ya kubadilisha... akaendelea ku stick nalo hadi sasa..
Basi lengo lake limefanikiwa..Mana amepata attention ya kutosha
 
736c1c5e01663f0424e0d9697a702855.jpg

Mwingine huyu APA Kama huamini
Ila nampa hongera bikira ya k.****

Hivi mwanaume ukiwa handsome unahisiwa vibaya kwanini?
sielewagi
 
Ye alisema lengo lake halikua kuajiriwa bali kujiajiri kuwa na kitu chake na aliamua kutumia mitandao ya kijamii kujitangaza.. enzi za facebook huko.. Ndio maana alichagua jina la Bikra wa kisukuma akiamini lita pata attention kwa watu wengi na pia kwa aina ya post atakazokua anaweka..

Mwisho wa siku jina likakua akaona haina haja ya kubadilisha... akaendelea ku stick nalo hadi sasa..

safi sana talented dude
 
Hivi mwanaume ukiwa handsome unahisiwa vibaya kwanini?
sielewagi

Mwanaume ULIYEKAMILIKA Na SHABABI Lazima Uwe Na SURA CHUNGU, Yenye CHUNUSI Za SHIDA Na Mwonekano Wa KIBABE Huku KIKWAPA Kikiwa KINATEMA Kimtindo Siyo Kama Hao Vijana Wako Ambao Kiukweli Wanaonekana Kabisa Ni Members Wa KUTUKUKA Wa Magomeni Mapipa Kwa Macheni.
 
Hii itakuwa ni series ya kila jumapili tutakuwa kila wiki tunatoa vijana wa kitanzania waliofanikiwa aidha kibiashara, au kwa kazi wanazofanya

lengo ni kuwa support, kujua story zao wameanza anzaje ili yule, mimi, na wewe tuweze kuiga mifano toka kwao

kwa leo tunaanza na huyu jamaa Anayeitwa Giovani maarufu kwa jina la BIKIRA WA KISUKUMA
kijana huyu ni mfano wa kuigwa kwani aliona opportunity ya kimaisha kwenye simu yake ya mkononi YES smartphone

kupitia MALAKI ya followers wake kupitia mtandao wa INSTAGRAM kijana huyu amekuwa akitoa elimu ya ujasiliamali jambo ambalo limekuwa ni mwanga kwa vijana wengi

kijana huyu kuthibitisha kuwa yeye ni mjasiliamali ameanzisha sehemu yake ya kujivinjali inaitwa THE PARLIAMENT ambapo sasa hivi ni habari ya mjini

vile vile jamaa huyu ni mtangazaji wa E FM kipindi anachoshirikiana na LEGEND wa utangazaji nchini GARDER G

haya ndio machache ya BIKIRA wa kisukuma mengine ongezea wewe

maxresdefault.jpg

bikira%2Bwa%2Bkisukuma.jpg

DUbFmkjL.jpg

10499043_1439052436373157_2098609444_n.jpg

hqdefault.jpg
Huyu nae ni celebrity? daah kazi kweli kweli...
 
Mwanaume ULIYEKAMILIKA Na SHABABI Lazima Uwe Na SURA CHUNGU, Yenye CHUNUSI Za SHIDA Na Mwonekano Wa KIBABE Huku KIKWAPA Kikiwa KINATEMA Kimtindo Siyo Kama Hao Vijana Wako Ambao Kiukweli Wanaonekana Kabisa Ni Members Wa KUTUKUKA Wa Magomeni Mapipa Kwa Macheni.
Sipatii picha siku nikipokea taarifa mtu kama Kalapina anatatuliwa marinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom