chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,720
Voyager 1 ni chombo cha angani kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la NASA nchini Marekani kwa kusudi la kupeleleza anga-nje katika mfumo wa Jua letu hadi anga-nje kati ya nyota.
Nasa imetangaza kufunga mifumo yake ifikapo 2025 kwa kuwa kuna vyombo vingi vinavo itajika kufanya utafiti.ila kutumika kwa utafiti wa mbali kama kitakuwa na mawasiliano .kwa kuwa uchukua mda kupata mawasiliano
Chombo kwa sasa kishatoka katika orbit ya nyota (jua) mbali na sasa katika solar system kwa mda.
Kama dunia kufika sayari ya pluto utumia miaka 10 basi chombo hiki kisha toka hapo.
Wanazengo wa anga tujadili hili