Mjue Antonio Garcia Conejo, mbunge aliyevua nguo kupinga sheria ya mafuta

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Mbunge wa Mrengo wa Kushoto wa Mexico, Antonio Garcia Conejo mwaka 2013 alivua nguo zake bungeni ili kupinga kupitishwa kwa sheria ya mafuta na gesi.

Alivua suti na kubaki na nguo ya ndani tu na alisema ‘Hivi ndivyo mtakavyolivua nguo taifa, faida iko wapi?’, ikiwa ni siku moja baada ya wajumbe kupitisha sheria hiyo.

Alisema kama ambavyo yeye anaaibika kwa kuvua nguo ndivyo ambavyo serikali na taifa inaenda kuabika kwa kuwa hata serikali ina mwili, ambao kwa sheria ile mwili wa serikalii uliwekwa uchi.


1612691098071.png
 
Back
Top Bottom