Mjomba wangu anatamani kuwa mfalme wa Swaz!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjomba wangu anatamani kuwa mfalme wa Swaz!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Marytina, Jul 29, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna rijali yeyote duniani angepiga marufuku huu utaratibu wa Swaziland
  CNN more than 400 virgin dadaz walishiriki hizi sherehe.
  1000s by 1000s watalii humimiminika SWAZ kila mwaka.
  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280
  Nitarudi, wapite kwanza wajuzi.
   
 3. Lutter

  Lutter Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2008
  Messages: 66
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Duh!, JK akienda huko lazima arudi na mtoto.
   
 4. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mbona hata mimi nimeomba, ila tu nasikia kuna shinikizo sababu ya wivu kwa mfalme eti aache kuchagua kila mwaka anawamalizia wanaume wenzake warembo
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Ukizoea kukiona kitu hamu huisha..........
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  tuache kudanganya, hawa watoto ni wakali aise, Huu utaratibu ungeanza tz, JK angewajaza wote Wabunge viti maalum.
   
 7. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa ndo maana ukienda kukaa bitch hamu inaisha unakuwa unaona kawaiiiiiiiiida
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Utaratibu ungekuwa hivi:
  1. Viti maalum watoto wa kike wa wakulima, nafasi 225.
  2. Viti maalum watoto wa kike wa jamii za wafugaji, nafasi 225.
  3. Viti maalum vyuo vikuu, nafasi 50.
  4. Viti maalum watoto wa wavuvi, nafasi 200.
  5. Viti maalum watoto wa wakulima wanaolima mazao ya biashra kwa wingi, nafasi 100.

  Harafu hoja ingetetewa kuwa ukumbi wa bunge ni mkubwa hivyo lazima kila jamii iwakilishwe vizuri.
  <br />
  <br />
   
 9. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kawaida, hamna jipya hapo
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,018
  Trophy Points: 280
  kohkohkohkoh
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sio JK tu hata mimi ningekuwa mkaka lazima ningehudhuria na kumega kwa sana
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  JK hana noma dini yake inamruhusu sasa.
  Ni wakati sana imagine hapo hamna makeup za masaluni na mikemiko zaidi ya utaalamu wa kienyeji tu
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  umesahau viti maalum presidential apointiiz 500
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  I love them,mswati anaenjoy sana
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  wou, asante kwa kunikumbusha; btw, weekend umeianzia wapi?, ni ndo namalizia samaki wa kuchoma hapa kawe club, karibu tujumuike.
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kudadeek kitu ndani ya box!
   
 17. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lovely
   
 18. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Huu utamaduni wa Swaziland una mionekano ya aina mbalimbali kulingana na utamaduni, dini, jinsi na elimu ya mtazamaji. Kuna wanaoona ni udhalilishaji, kuna wanaoona ni kudumisha mila, kuna wanaoona ni burudani nk.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 19. wende

  wende JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 20. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Yaani ni mboga za ukweli.
   
Loading...