Mjomba wa Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la USALITI.

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Nimepata habari hii kwenye Dw sauti ya Ujerumani, simu yangu ndogo hvyo mwenye uwezo atusaidie kuweka habari kamili. Cc MM,M1,M2,M3
 
Zamani nilidhani adhabu ya msaliti ni kifo vitani tuu,kumbe nchi zingine hata katika siasa nako ni kifo? Kumbe usaliti ni kitu kibaya sana na kinahitaji adhabu kubwa kiasi hicho? Mbona hapa kwetu tunawajadili sana hata wakipewa kaadhabu ka kufukuzwa?
 
Usaliti na kutokukubaliana ni vitu viwili tofauti. Japo watawala wengi hupenda kugeuza kutokukubaliana kuwa ni Usaliti.
 
Back
Top Bottom