Mjomba Mrisho Mpoto wa awamu ya 4 hayupo tena

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,499
12,158
Mrisho Mpoto wa awamu ya JK alikuwa wa moto kweli, kila nyimbo ni fire.

Ila huyu wa sasa toka aamue kuunga mkono juhudi hata sielewi, maana vya kuimba zile tungo zake ni vingi kweli ila yupo kwenye mikutano ya CCM kila siku.

Huyu kama Polepole tu, njaa ndio ilikuwa inawasumbua.
 
Back
Top Bottom