MJJ's 25th Anniversary Thriller Dance, L.A. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MJJ's 25th Anniversary Thriller Dance, L.A.

Discussion in 'Entertainment' started by Sikonge, Oct 28, 2008.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Wana JF,
  Kwa wale waliokula chumvi nyingi na vijana wapenzi wa mziki, itakumbukwa kuwa Album ya Michael Joseph Jackson iitwayo Thiller ilitoka miaka 25 iliyopita na kuvunja rekodi zote. Na sijui kama kuna Album itakuja kuvunja rekodi za hiyo Album. Ndani kuna miziki mingi ambayo kila mtu alipenda yake. P.Y.T, Beat it, Human nature, the girl is mine nk.
  Kwenye VIDEO ya huu wimbo huko ndiko kulifanyika HISTORY. Hongera nyingi kwa director wa video John Landis na marehemu Michael Peter kama muaandaji wa walivyocheza (choreograph). Michael Peter anaonekana vizuri kwenye Album ya BEAT IT akiwa kavaa miwani na anacheza nyuma ya Michael Jackson.
  Juzi juzi naona FANS wa huu wimbo wameamua kukutana LA na kusherehekea kivyao. Wameshoot video na kuziweka YOUTUBE. Ukiwa na muda na kama hujaziona waweza kuzipitia. Link ziko hapo chini.
  Nafikiri tofauti kubwa ya zamani na sasa ni kuwa PRODUCER wa wakati ule walikuwa wanaijua kazi. Hapa heshima kubwa kwa "baba mkwe wa 2Pac Shakur?" yaani mzee QUEENS JONES.

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=w-IBqPeL1yk[/media]

  If you want HQ and REMIX go down at this link

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=tGDvzx3EvPg&feature=related[/media]
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,597
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Wale akina MJ wa kibongo nao ni wakati wao wa kujikumbusha jinsi walivyokuwa wakimwiga MJ
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Bahati mbaya DJ Kalikali na Black Moses ni marehemu. Labda ingelibidi Mbowe afanye part kama hiyo na kuja lazima uwe na "DONT TOUCH MY SHOES".
   
Loading...