Mjini uwanja wa fujo, kila mtu anacheza ngoma anayotaka kivyake!!wenye nyumba mpo??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjini uwanja wa fujo, kila mtu anacheza ngoma anayotaka kivyake!!wenye nyumba mpo???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The King, Oct 24, 2010.

 1. T

  The King JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  MJINI UWANJA WA FUJO,KILA MTU ANACHEZA NGOMA ANAYOTAKA!!WENYE NYUMBA MPO???

  [​IMG]

  Huyu dada pichani ni mkazi wa hapa jijini Dar alikuwa kapanga huko Magomeni kwa mwaka mzima nyumba ya dada mmoja hivi.Ila kwa kipindi kirefu anasema mama mwenye nyumba amekuwa akimnyanyasa yeye na wapangaji wenzake.Sasa kodi yake imeisha jumamosi ya juzi 27 na ikawa ndio siku yake ya kuhama.Akaamua kabla ya kuhama kabisa afanye sherehe ya kuhama nyumba hiyo na kumshukuru mungu kumuepusha na balaa la kuendelea kuishi nyumba hiyo.Na pia kumpa mama mwenye nyumba vipande vyake.


  [​IMG]
  Nyumba ndio hiyo hapo inavyoonekana kwa nje getini.
  [​IMG]
  Watu kibao walikuwepo walialikwa katika shughuli hiyo ambayo haijawahi kutokea kihistoria ya maswala ya wapangaji na wapangishaji.
  [​IMG]
  Tena kulikuwa na kitambaa cha sare kwa rangi tofauti
  [​IMG]
  Matarumbeta yalikuwepo na wamelipwa yaleyale kama ya msuto wa magomeni hahahahaha
  [​IMG]
  Teeeeeeeenaaaaaaaaa wapangaji wote wa nyumba hiyo walijumuika na mwenzao kusherehekea kuhama katika nyumba hiyo kwa mauno ya kufa mtu.Hawakuogopa notice hata kidogo hahahaha
  [​IMG]
  Shughuli ni watu..............

  [​IMG]
  Muda wa kula ukafika sasa biriani likapakuliwa saa saba mchana hiyo,watu wakalaaaaaaaaaaa kwa raha zao.

  [​IMG]
  [​IMG]
  Mwenye shughuli akihudumia waalikwa chakula cha mchana,biriani la nyama.

  [​IMG]
  Mnuso unaendelea hahahahahaha jamani,mmmh.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Kibao kata pia kilikuwepo kwa wale mnaokijua kibao kata yaaani balaaaaaaa

  [​IMG]
  [​IMG]
  Hapo ni nyimbo za vijembe kwa kwenda mbele ujumbe kwa mama mwenye nyumba


  [​IMG][​IMG][​IMG]

  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
  Mizigo ilikuwa imefungwa tayari jioni gari ikifika ni kupakia na kuondoka,kwenda makazi mapya ambayo si mbali kutoka nyumba aliyohama.
  [​IMG]
  Wakati haya yanaendelea mama mwenye nyumba alikimbia na mpaka leo tumeulizia hajarudi.Hii ndio Bongo wapendwa hahahahahah
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  ZE KING: UMETUMWA kuitanga blog ya D Marios kwa wana jf?. Ume höngwa sh ngapi?. Nitakuitia vijana wa Sophia Simba sasa hivi. Ila, big up kwa photo hizi japo ni ngumu kujua kama zinawakilisha stori yenyewe
   
 3. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hii habari kukuu ya toka 29 march 2010 unaileta leo.
   
 4. T

  The King JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongo tena!:ranger:
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  naam, kani unatangaza biashara ya mtu kwa burebure?! :bowl:
   
Loading...