KUNANI PALE TGA
Senior Member
- Feb 6, 2009
- 138
- 7
habari. yaani barabara nyingi zimekuwa kama mito. mji una hali mbaya baada ya mvua kunyesha. mifereji ya mkoloni ndio zinazofanya kazi wakati zimeshachoka. barabara mbovu sijawahi kuona. naomba wizara husika itunusuru.