Mjini Tanga panatisha

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
habari. yaani barabara nyingi zimekuwa kama mito. mji una hali mbaya baada ya mvua kunyesha. mifereji ya mkoloni ndio zinazofanya kazi wakati zimeshachoka. barabara mbovu sijawahi kuona. naomba wizara husika itunusuru.
 
Hebu weka picha za barabara hizo ili tujionee wenyewe, halafu uko ndiko mtaji wa CCM ulipolalia!
 
miundo mbinu wako bze na kubebwa mgongoni, nguo zimefuliwa hawaendi kazini wala hjatoki nje, hawaajui kinachoendelea barabarani
 
Wanabebwa mgongoni kwenda wapi?hawatoki nje wanafanyaje ndani?

Back
Top Bottom