Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
monile...ni hivi tangu last wiki nimekua nikiyaangalia kwa umakini maji na chupa za kilimanjaro kwa kweli zina kila dalili ya kuwa sio yale tuliyoyazoea.

ukiyaangalia kwa umakini maji yake wala hayana ung'ao ule uliokuwepo zaman..maji km yana rangi ya povu hivi kwa mbaalii
pia chupa zake kwa chini uku kwenye kitako ni km zmetunatuna na kuna kitundu ivi sjui maji yalikuwa yanaingizwa kwa kutumia bomba la sindano...
hata ladha pia siyo kabisa
huenda mtaaani kwenu stock hiyo haijaja lakin uku uswahilini kwetu naona wametuletea....

nia yangu sio kuwaharibia soko hapana its just kuwashtua bnadamu wenzangu muwe makini na vyakula,vinywaji tuvitumiavyo also kuwataka COCACOLA KWANZA ,SJUI BONITE BOTTLES watupie macho yao kwenye masoko cz kuna wadau wanaowaharibia soko

wenu ktk ujenz wa afya...byeeee
 
Risa

Senior Member
Feb 10, 2012
177
32
Siku hizi kila kitu feki sijui tule/tunywe nini? mie nilikuwa nakunywa uhai ikasemekana kuna uwezekano mkubwa hayo maji yanafanywa hivyo kama unavyohisi wewe, nkaacha nikaamia Kilimanjaro sasa kumbe nako majanga!!
 
Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
997
Sidhani kama wa Tanzania tumefika huko mpaka mtu akaweke maji mabaya kwenye chipa za kilimanjaro... Kilimanjaro ni maji yanayotumika East Africa mpaka sudani kusini..haya ni maji ya maboss wengi viongozi na watu wazito... Nakumbuka siku moja Jk akiwa kwenye mkutano hapa arusha aliletewa maji aina nyingine akayarudisha.. Ikabidi aletewe kilimanjaro.
 
mukandarasi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
933
272
monile...ni hivi tangu last wiki nimekua nikiyaangalia kwa umakini maji na chupa za kilimanjaro kwa kweli zina kila dalili ya kuwa sio yale tuliyoyazoea.

ukiyaangalia kwa umakini maji yake wala hayana ung'ao ule uliokuwepo zaman..maji km yana rangi ya povu hivi kwa mbaalii
pia chupa zake kwa chini uku kwenye kitako ni km zmetunatuna na kuna kitundu ivi sjui maji yalikuwa yanaingizwa kwa kutumia bomba la sindano...
hata ladha pia siyo kabisa
huenda mtaaani kwenu stock hiyo haijaja lakin uku uswahilini kwetu naona wametuletea....

nia yangu sio kuwaharibia soko hapana its just kuwashtua bnadamu wenzangu muwe makini na vyakula,vinywaji tuvitumiavyo also kuwataka COCACOLA KWANZA ,SJUI BONITE BOTTLES watupie macho yao kwenye masoko cz kuna wadau wanaowaharibia soko

wenu ktk ujenz wa afya...byeeee

Nakushukuru kwa kujali afya za binadamu wenzako!
 
mikonomiwili

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
273
50
Sidhani kama wa Tanzania tumefika huko mpaka mtu akaweke maji mabaya kwenye chipa za kilimanjaro... Kilimanjaro ni maji yanayotumika East Africa mpaka sudani kusini..haya ni maji ya maboss wengi viongozi na watu wazito... Nakumbuka siku moja Jk akiwa kwenye mkutano hapa arusha aliletewa maji aina nyingine akayarudisha.. Ikabidi aletewe kilimanjaro.

mkuu lisemwalo lipo kama halipo laja usisahau haka kausemi .
watu wanajaza maji mtaani sana hata haya maji ya uhai yanayo uzwa barabarani (si dukani) kwakutembezwa yaangalie vizuri mengi yanajazwa hapo manzese .kama ulipo hawajafanya hivyo shukuru mungu lakini mimi nilisha yaona ila yalikua ya uhai .

kumbuka hakuna kinachoshimdikana chini ya jua
 
Onduru Ogy

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,136
1,169
Sidhani kama wa Tanzania tumefika huko mpaka mtu akaweke maji mabaya kwenye chipa za kilimanjaro... Kilimanjaro ni maji yanayotumika East Africa mpaka sudani kusini..haya ni maji ya maboss wengi viongozi na watu wazito... Nakumbuka siku moja Jk akiwa kwenye mkutano hapa arusha aliletewa maji aina nyingine akayarudisha.. Ikabidi aletewe kilimanjaro.

Watanzania mazoea ndo tatizo letu.
Ukichukua maji ya Uhai na Kilimanjaro ukaingia nayo maabara kufanya analysis utagundua Uhai ni masafi kuliko Kilimanjaro.
Sema watu wamezoea akiona fulani anatumia hiki anaona ni bora.
Kilimanjaro hata Sayona ni zaidi.
 
Haliali

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
574
263
nashukuru kwa taarifa. ila naomba kwenye hayo maji feki nipe vipimo vifuatavyo ili niweze amini
1. chloride
2. Floride
3. Nitrate
4. Potassium
5.Sodium
6.pH

monile...ni hivi tangu last wiki nimekua nikiyaangalia kwa umakini maji na chupa za kilimanjaro kwa kweli zina kila dalili ya kuwa sio yale tuliyoyazoea.

ukiyaangalia kwa umakini maji yake wala hayana ung'ao ule uliokuwepo zaman..maji km yana rangi ya povu hivi kwa mbaalii
pia chupa zake kwa chini uku kwenye kitako ni km zmetunatuna na kuna kitundu ivi sjui maji yalikuwa yanaingizwa kwa kutumia bomba la sindano...
hata ladha pia siyo kabisa
huenda mtaaani kwenu stock hiyo haijaja lakin uku uswahilini kwetu naona wametuletea....

nia yangu sio kuwaharibia soko hapana its just kuwashtua bnadamu wenzangu muwe makini na vyakula,vinywaji tuvitumiavyo also kuwataka COCACOLA KWANZA ,SJUI BONITE BOTTLES watupie macho yao kwenye masoko cz kuna wadau wanaowaharibia soko

wenu ktk ujenz wa afya...byeeee
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
Sidhani kama wa Tanzania tumefika huko mpaka mtu akaweke maji mabaya kwenye chipa za kilimanjaro... Kilimanjaro ni maji yanayotumika East Africa mpaka sudani kusini..haya ni maji ya maboss wengi viongozi na watu wazito... Nakumbuka siku moja Jk akiwa kwenye mkutano hapa arusha aliletewa maji aina nyingine akayarudisha.. Ikabidi aletewe kilimanjaro.

nan kakubishia km sio maji ya maboss?
ivi unaelewa unachobisha au unabsha tu ili mradi umebisha?
:rip:broo
 
Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,678
4,314
mh onduru kilimanjaro na sayona! Wapi na wapi kiongozi Kilimanjaro na yale yakiitwa Africa the best we ever have!
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
nashukuru kwa taarifa. ila naomba kwenye hayo maji feki nipe vipimo vifuatavyo ili niweze amini
1. chloride
2. Floride
3. Nitrate
4. Potassium
5.Sodium
6.pH

mjombaaa wala sijakwambia nimepima kwa kutumia ivyo vgezo vyako...nimekwambia ladha na rangi yake plus chupa zake ukiangalia kwa makin si km vile tulivyozoea..sasa wewe mkemia mkuu ndo nakupa kazi ukayafanyie iyo kemia yako sjui nini afu uje na details apa...sawa???????????

afu sjaleta u usi ili kubshana ..km ujakumbana nayo we kausha ..mimi nimekutana nayo na ndo mana nikaandika upo?
usinizidishe mapovu apa...ntakugecha bure
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,539
Ni kweli kabisa Rose1980 mimi nlikutana na maji last week Kilimanjaro kubwa yana ladha ya utamu, yaani kama yametiwa sukari kwa mbali hadi nikahofia isijekuwa ni mdomo wangu but kila aliyeyaonja pale mezani alikiri yana ladha ile. Eh jamani watanzania mnaofanya hivi mtatuua wenzenu kwa uroho wa pesa jamani.
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
nashukuru kwa taarifa. ila naomba kwenye hayo maji feki nipe vipimo vifuatavyo ili niweze amini
1. chloride
2. Floride
3. Nitrate
4. Potassium
5.Sodium
6.pH

na ivyo vipimo asi rahisi tu kuprint...ugumu upo wap?
asi kikaratasi kile tu mtu unaprint unabandika
 
kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,820
586
mleta mada hiyo stock imetua mitaa gani? Tusaidiane kutunza Kilimanjaro yetu.
 
kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,820
586
ili kujilinda na bidhaa feki hakikisha unanunua DUKANI, ili kuweza kumkamata msambazaji kwa urahisi. Vinginevyo kaa mkao wa kimajanga.
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom