Mji wenye hewa chafu zaidi duniani ni Onitsha

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Onitsha ndio mji wenye hewa chafu zaidi duniani

160518104149_onitsha_pollution_640x360_bbc_nocredit.jpg


Onitsha uliandikisha viwango vilivyo juu mara 30 zaidi ya viwango vya uchafuzi vilivyowekwa na WHO.
Uchunguzi uliofanywa na shirika la afya duniani WHO, unaonyesha kuwa mji wa Onitsha nchini Nigeria una hewa iliyochafuka zaidi duniani.

Onitsha uliandikisha viwango vilivyo juu mara 30 zaidi ya viwango vya uchafuzi vilivyowekwa na WHO.

Ripoti hiyo inaendelea kusema kuwa miji mingine mitatua nchini Nigeria ikiwemo Kaduna,Umuahia na Aba pia inaonekana kwenye orodha ya miji ishirini yenye hewa chafu zaidi duniani.

Source BBC

Dar sijui itakuwa ya ngapi maana kuna mitaa balaa bila kuwasahau majirani zetu pale Nairobi nao kwa uchafu hawajambo pia
 
Back
Top Bottom