Mji wa Lupaso umezidiwa na Machame ambao haujawahi kutoa Rais wala Waziri mkuu!

Nimepita kijiji au tuseme mji wa Lupaso kiukweli hali yao ya kimaendeleo ni ya kawaida kabisa...
Kwanza Machame hakuna mji. Machame ni tarafa ambao mji wake ni Boma ngombe wilaya ya Hai.

Eneo fulani kutoa raisi si kigezo cha kuendelezwa kwa mji eneo hilo, Butiama walitoa rais wa kwanza sijawahi kusikia kwamba kuna mji wa Butiama.
 
Dr Angellina Mabula alikuwa DC wa Butiama au nimekosea?
 
MaCHADEMA hata kujenga room moja ya ofisi miaka 30 yameshindwa. Yananyang’anyana tu ruzuku kama mafisi. Makao makuu yao pagala bovu.

Unaweza kushangaa na wewe hua unaamka unavaa nguo unaenda kazini na Boss wako anajua anamfanyakazi kumbe ameajiri mwehu kabisa, tena utashangaa mtu kama wewe kuna watu wanakutegemea maskini ya Mungu
 
Nimepita kijiji au tuseme mji wa Lupaso kiukweli hali yao ya kimaendeleo ni ya kawaida kabisa...
Mkuu

Aliyekuwa mzaliwa wa kijiji hicho hakuwahi kwenda kusihi hapo sasa unategemea fursa za maendeleo zitatoka wapi?

'Charity starts at home' kama usipopajali ulipotoka haiwezekani watu kupaparikia kwenda kuwekeza wakati wakijua watapoteza maana hakuna watu maarufu na fursa wezeshi iliyopo kufikia maendeleo ya uhakika.
 
Back
Top Bottom