Mji wa Lupaso umezidiwa na Machame ambao haujawahi kutoa Rais wala Waziri mkuu!

Porini kuna majani sasa kwa ukame huu majani si yalikuwa makavu., Na magunzi wanatoa wapi!
OIP.WaUbrdVHXUoWtbeHcZIJKgHaE-
 
mikoa ya pwani ilichelewa sana kutokana na kukumbatia tamaduni za kiarabu.

Huo ni uongo. Masasi kitamaduni haifanani kabisa na mwambao wa Pwani ya Tanzania, ni zone ya kuelekea Songea ambako ni purely non-coastal na wala watu wake hawafanani tabia na watu wa pwani.

Kimuonekano tabia za huko zinaanza kushabihiana na watu walioko mbali na bahari ya Hindi yaani watu wa Tunduru, Songea na Njombe na ndiyo kundi lao.

Watu wa Pwani wako Mtwara mjini, Mtwara Vijijini, Lindi na Lindi Vijijini, Kilwa, Rufiji kuja huku Mkuranga,Dar na Bagamoyo kutaja kwa uchache.

Kwa hiyo ni uongo kusema issue ya Pwani imesababisha eneo tajwa lisiendelee( kama unavyodai au ilivyodaiwa na mtoa mada).

Ila ukweli ni kwamba watu wa kusini na hapa ni karibu kusini yote siyo watu wabinafsi wanaopenda kujilimbikizia mali, na hiyo ni fact.
 
Ingekuwa ndo hivo maboya na mafala wasingekuwa matajiri.Lakini tazama wajanja wa town hawana pesa zaidi ya udalali ila maboya toka shamba ndo wenye maduka kariakoo.
 
Nimepita kijiji au tuseme mji wa Lupaso kiukweli hali yao ya kimaendeleo ni ya kawaida kabisa.

Ahsante Wana Lupaso kwa ukarimu wenu.

RIP Mkapa.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi unaijua nyumba ya B.M iliyopo pale masasi mjini?
Kwa sasa nadhani ni makazi ya bundi tu
 
Ni mfumo wa maisha, jamii nyingi hazina ujamaa wala ushindani wa maendeleo! kuna mahala ukipata basi unajitafutia matatizo!!! Pia Jografia ya eneo husika kule napo pembezoni mno japo zamani ndio kulikuaga kumeendelea mana pana mission...
Upo maeneo hayo mkuu?
 
Maeneo mengi hasa yale yaliyo chelewa kupata elimu,, ni shida ulikuwa ukiwa tajiri lazima wakuwekee mizengwe pamoja na ushirikina mpaka ndugu zako walikuwa wana uwezo wa kukuondoa (kurogwa)
 
Mimi pia nimeoa Uchagani, lakini kiukweli hawa wakina Bwashee walifunguka macho mapema sana. Kama ni kitangulia kimaendeleo na kiustaarabu kwa kuwalinganisha na jamii zingine, basi ninakiri wapo mbele sana...
wewe ushalishwa limbwata bw mdogo. Huyo mkeo siku akikuuUfooo Sarro ndio utajua kwanini wazazi wako na ndugu zako walikuonya usioe hao watu. Na kwa kusifia huko hata wewe utaishia kujenga ukweni na huko kwenu Musoma patabaki magofu daima.
 
Rais Mkapa alioa uchagani akazidiwa akili na wachaga. Mimi nimeoa huko lakini nimekuwa mwangalifu sana. Chezea wachaga wewe!
Akaenda kujenga Lushoto, ili awe ananebeshwa vizuri mizigo kuelekea Moshi.
 
MaCHADEMA hata kujenga room moja ya ofisi miaka 30 yameshindwa. Yananyang’anyana tu ruzuku kama mafisi. Makao makuu yao pagala bovu.
 
Back
Top Bottom