MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Mji wa Kahama ni moja ya mini mikubwa ya kibiashara hapa Tanzania..
Ni mji unaopatikana kaskazini magharibi mwa Tanzania, mji huu unaongezeko kubwa sana la watu kutokana na upatikanaji wa maji safi na salama na maduka makubwa ya bidhaa...
Ni mji unaohudumia Kibondo, Kaliua, Msalala, Shinyanga vijijini, Mbogwe na Bukombe....
Mji huu una viwanda na mahitaji yake ya umeme ni makubwa sana.Umeme uliopo Kahama hautoshi kwa mahitaji yake, hivyo serkali iliahidi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa...
Nimesikia tayari ahadi imetimia, sijawa na hakika hivyo kama kuna wadau wanajua hili watufahamishe.