Mji mzito huu part 2

Mmh. Hiv umamjuaje Punga?
Kama sio mende kumjuwa punga ni ngumu sana,,ila mende akimuona punga anamjuwa na punga akimuona mende anamjuwa,,ila mapunga wote wana style fulani ya uongeaji na kutembea...ukiwafuatilia utawajuwa mapunga kwa kuongea na kutembea...na hata uvaaji wao
 
Kazi mnayo. Hivi ile harufu ya nnya mnaifurahia?
 
Kama sio mende kumjuwa punga ni ngumu sana,,ila mende akimuona punga anamjuwa na punga akimuona mende anamjuwa,,ila mapunga wote wana style fulani ya uongeaji na kutembea...ukiwafuatilia utawajuwa mapunga kwa kuongea na kutembea...na hata uvaaji wao
Usichanganye homornal imbalances na GAY, sio kila kila mweny element tofaut na jinsia yake bas n Gay, hizo ni logic za wa , hazina ukweli kabisaaah, nadhan utakuwa ume elewa.
 
Mkuu hebu wafuatilie mashoga wote,,,duniani utagundua they way they talk,, the way they walk,,the way they dress,,,,are the same....hivi unadhani nn kinamfanya mende ajuwe kama huyu ni shoga?wao wanaishara zao ukishazijuwa sasa kazi kwako,,,kwenda kuomba mzigo,,...kuna mtangazaji Fulani wa radio fulani hapa bongo,,kuna siku nilimsikiliza kwa dk 5 tu,,aisee,,yule ni shoga straight... Japokuwa sijawahi kumuona hata siku moja,,lakini sauti yake ni mule mule...biriani...mkuu hawa watu wanaishara zao...usidhani mende anakurupuka tu,,,kitendo cha kumtogoza mwanaume mwenzio kama sio shoga kinahitaji kujitoa muhanga..maana hilo dume linalotongozwa kama sio shoga halisi vita vyake ni vikubwa zaidi ya vita vya maji maji...
 
Hebu kua muelewa mkuu, ndo maan nmekuambia kuwa hizo n logic za watu kua kwamba mtu akiwa na element tofauti na jinsia yake bas n Gay, kumbe suala haliko hivyo,

Homornal imbalances haihusian na Gay, ila watu ndio wanaolazimisha iwe hivyo. Na nnachosema nna uhakika nacho wala sizungumzi ili mradi, mtu kuwa na saut ya ke, kutembea na umbo wala sio indicator ya Gay, jua kabisa n hormonal products, sasa n uamuzi wa muhusika kujua mlengo wake uko wapi, na sio watu waka hitumisha hivyoo mmmmh,

Huko ulaya watu hawwchukulii uzito san hili suala, it seems muhusika anajua the way him are,

Sasa huku kuna logic za hovyooh unakuta mtu ana elements tofaut na jinsia yake, ila hafany mapenzi ya ya jinsia 1, lakin jamii inamchukulia negative way, kumbe uhalisia n tofauti.

Tuache fikra potofu na mtazamo hasi juu ya Genes za watu.
 
mtu ambaye hormony zimekataa kukaa sawa ni kweli hana uhusiano na mbae ni shoga moja kwa moja.lakini sharti mtu huyu aifiche hali yake,kama haifichiki aonyeshe kuichukia.

akiikubali na kuonyesha kuifurahia nzi lazima wamfuate.kama f maston.
 
Kwahiyo mtu aishi nje ya uhalisia wake? Aanze kujichukia yeee binafsi is it? Na unajua homornes products haijifichi kwan ziko on body system, acheni watu waishi vile walivyoumbwa sio kupangiana khaaaaaah. Inaumiza sana tena mnooh jamii haiko fair kweny suala hili.
 
mfano huyu anaishi uhakisia.
 
mfano huyu anaishi uhakisia.
Yeaaaaah lazima ajikubali ana afurahie vile alivyo, kwan ndo Jah ame muumba hivyo na hawezi kubadilisha ukweli. Jamii iache dhana potofu na mtazamo hasi juu ya hili suala, inaumiza wahusika kwa kweli.
 
Mkuu unamuongelea Bii twangala au AC Milani ayo?
Mkuu hebu wafuatilie mashoga wote,,,duniani utagundua they way they talk,, the way they walk,,the way they dress,,,,are the same....hivi unadhani nn kinamfanya mende ajuwe kama huyu ni shoga?wao wanaishara zao ukishazijuwa sasa kazi kwako,,,kwenda kuomba mzigo,,...kuna mtangazaji Fulani wa radio fulani hapa bongo,,kuna siku nilimsikiliza kwa dk 5 tu,,aisee,,yule ni shoga straight... Japokuwa sijawahi kumuona hata siku moja,,lakini sauti yake ni mule mule...biriani...mkuu hawa watu wanaishara zao...usidhani mende anakurupuka tu,,,kitendo cha kumtogoza mwanaume mwenzio kama sio shoga kinahitaji kujitoa muhanga..maana hilo dume linalotongozwa kama sio shoga halisi vita vyake ni vikubwa zaidi ya vita vya maji maji...
 
Hapa mwenyezi Mungu anakua amewapa mitihani mikubwa wazazi wake, acceptance inakua ngumu sana
Yeaaaaah lazima ajikubali ana afurahie vile alivyo, kwan ndo Jah ame muumba hivyo na hawezi kubadilisha ukweli. Jamii iache dhana potofu na mtazamo hasi juu ya hili suala, inaumiza wahusika kwa kweli.
 
Hapa mwenyezi Mungu anakua amewapa mitihani mikubwa wazazi wake, acceptance inakua ngumu sana
Ndo ivo itabidi wakubaliane na ukweli na uhalisia ulivyo, ila hii dhana potofu na mtazamo hasi hapana inaumiza wahusika kwa kweli. Mie najua hali ilivyo .
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu unaongea kwa uchungu sana. Sorry to ask this, una first hand experience nini?
Ndo ivo itabidi wakubaliane na ukweli na uhalisia ulivyo, ila hii dhana potofu na mtazamo hasi hapana inaumiza wahusika kwa kweli. Mie najua hali ilivyo .
 
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

Back
Top Bottom