Mji mkuu wa Tanzania ni upi?

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Jamani Naomba munifahamishe mji mkuu wa Tanzania yetu ni upi? Wa2 najua wamegawanyika. Wa2 wengi kutoka nchi nyingine watakuambia Dar es salaam. Hata mji wa Dodoma hawajui kama una-exist. Baadhi ye2 tunajua ni Dar, miongoni mwe2 tunajua ni Dom. Wengine tunasema miji yote hii mi2 ni miji mikuu kama baadhi ya nchi duniani. Naombeni jibu la uhakika wakuu.
 
Makao Makuu ya Serikali ni Dodoma. Mji Mkuu wa Biashara ni Dar es Salaam. Ndivyo ninavyoelewa mimi. Nimejaribu, kama nimekosa naomba nisahihishwe ili nami pia nipate ukweli wenye uhakika.
 
Hivi wakati tunasoma Primary school kwani tuliambiwa mji mkuu wa Tanzania ni DOm or DSM
 
Kisiasa mji mkuu ni Dodoma. Kiutendaji serikali yote, Mabalozi wote wako DSM kwa hiyo huo ndio mji mkuu.
 
Dodoma ni mji mkuu jina tu. Serikali yote ipo Dar na wabunge wengi wana ofisi na makazi Dar. Wakati pekee ambao Dodoma una pata hisia ya kuwa mjii mkuu ni kukiwa na vikao vya bunge. Hizi definition ya capital city ni ipi haswa?
 
Unachokisema Maamuma nshawah sikia. Huenda uko sahihi.
@ 1stLady, mi nakumbuka primary wali2ambia Dom.
@ Wasp ndo maana wa2 wa nje watakuambia DSM coz ya ma-balozi wao wote wako hapo! Kaazi kweliX2.
 
Makao Makuu ya Serikali ni Dodoma. Mji Mkuu wa Biashara ni Dar es Salaam. Ndivyo ninavyoelewa mimi. Nimejaribu, kama nimekosa naomba nisahihishwe ili nami pia nipate ukweli wenye uhakika.

I think this is very politically defined so, but practically Dodoma is nothing kwa sababu hakuna hata government ofisi moja (ukiondoa bunge) iliyopo pale! Kuanzia wizara zote mpaka Ikulu ya nchi vyote viko Dar, kwa hiyo nafikiri ni fair enough kusema Dar is a Capital City.
 
Jamani mambo yako hivi;
Capital city = Dodoma
Commercial city = Dar es Salaam.

Mkanganyiko kama huu hauko Tanzania peke yake bali ni nchi kadhaa duniani kwa mfano Uholanzi (Capital = The Hague, commercial = Amsterdam), Malaysia (Capital= Putra Jaya, Commercia = Kuala Lumpur), Switzerlan (Capital =Bern , commercial = Geneva) etc.
 
In "To Kill A Mockingbird" there is a government bureaucrat who was designing the seat of Macon county (district), Alabama. So the bureaucrat designed the headquarters to be in the geographical centre of the county, aiming at making the county seat accessible to everyone.

But in reality the place was the farthest from anywhere, in the middle of some vast swamp, and a more practical county headquarters could have been built near the common means of transportation, a river.

Sometimes I think Nyerere was following the steps of this bureaucrat.

Tanzania's official capital is Dodoma, but we have been moving there for some thirty odd years.

When the Nigerians wanted to move their capital from Lagos to Abuja, they came to us to do a study, we gave them all the bulky files, they did their move and we the teachers are still zigzagging.

All successful capital moves, from Ataturk's move of the Turks capital from Instanbul to Ankara to the Nigerians from Lagos to Abuja has been possible by either a natural growth in the new capital or some massive investment. We had neither. Political will can only get you so far.
 
Jamani mambo yako hivi;
Capital city = Dodoma
Commercial city = Dar es Salaam.

Mkanganyiko kama huu hauko Tanzania peke yake bali ni nchi kadhaa duniani kwa mfano Uholanzi (Capital = The Hague, commercial = Amsterdam), Malaysia (Capital= Putra Jaya, Commercia = Kuala Lumpur), Switzerlan (Capital =Bern , commercial = Geneva) etc.

The point here is that Dodoma is "capital city" only in name.

The State House, ministries, embassies etc operate from Dar. Is that the case in any of those example you gave?
 
Dodoma ni mji mkuu jina tu. Serikali yote ipo Dar na wabunge wengi wana ofisi na makazi Dar. Wakati pekee ambao Dodoma una pata hisia ya kuwa mjii mkuu ni kukiwa na vikao vya bunge. Hizi definition ya capital city ni ipi haswa?

Mimi naamini kama wewe kwamba Mji Mkuu wa Tanzania ni Dar, itakuwaje tunahamisha makao makuu ya nchi kwa miaka 34 sasa! (tangu 1975 mpaka 2009 bado tunahama tu!) Na hili la Serikali kujifanya Dom ni makao makuu ya nchi linaingiza gharama kubwa sana ya uendeshaji lakini njemba hazitii neno maana masurufu kibao kwa miaka yote hii 34 sasa!
 
Mji mkuu ni dodoma, mji wa kibiashara ni Dar es salaam full stop. Haijalishi wamehamia au vipi? Hili ndio jawabu la swali lako, mengineo ni politiki.
 
Mji mkuu ni dodoma, mji wa kibiashara ni Dar es salaam full stop. Haijalishi wamehamia au vipi? Hili ndio jawabu la swali lako, mengineo ni politiki.
Dodoma ni mji mkuu kwa kigezo gani?

Serikali ikiiita pembetatu mviringo utakubali?

Huwezi kusema Dodoma ni mji mkuu full stop bila ku qualify kwamba this is only in books, and that the actual government seats in Dar.
 
Dodoma ni mji mkuu jina tu. Serikali yote ipo Dar na wabunge wengi wana ofisi na makazi Dar. Wakati pekee ambao Dodoma una pata hisia ya kuwa mjii mkuu ni kukiwa na vikao vya bunge. Hizi definition ya capital city ni ipi haswa?

Ikulu, Waziri Mkuu, Marais Wastaafu, Mawaziri, Wakurugenzi wa Idara nyeti za Serikali kama Usalama wa Taifa,TAKUKURU, Uhamiaji, makao Makuu ya Jeshi, Polisi, nk. vyote vipo Dar. Dodoma kuna Bunge tu na ofisi ndogo ndogo za baadhi ya Wizara. Ukuu wa Dodoma ni nini?
 
Tumesahau ,makaburi ya viongozi nayo yatakuwa Dodoma, labda hii ni qualification nyingine ya kufanya Dodoma mji mkuu
 
Tunaongopeana tu hapo, kwa miongo mitatu na ushee hiyo, hata kama mji mkuu ungekuwa unahamishwa kwa mikokoteni, ungekuwa umeshahama. Nani akakae Idodomya wakati dili zote ziko Dar!! Hebu na tusidanganyane tena kuwa Santa atakuja usiku wa tarehe 24, tumeshakuwa wakubwa sasa..
 
Back
Top Bottom