Kuna kauli za kuanza kuandika Muswada wa Sheria ya Makao Makuu lakini kwa mbaaaaaaali saaaaaana. Na kwa kuwa miradi mingi na vipaumbele vingi vinaelekezwa kwenye lileeeee jiji letu hili jambo litapigwa danadana sana. Ila wameweka kwenye ilani ya CCM, tusubiri utekelezaji wa hiyo ilani kama Mungu atawapa ufahamu wahusika.