Mji kasoro bahari

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,373
2,000
kwanini? morogoro unaitwa mji kasoro bahari wakati ni mikoa mingi tanzania haina bahari.
 

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
11,185
2,000
Long time kitambo, mji wa Morogoro ulikuwa unakimbizana na Dar kiburudani,Moro kulikuwa Mbaraka Mwinshehe Mwaruka,Salim Abdallah wote marehemu,band zao ziliufanya mji kuchangamka hasa,ndiyo maana wakafananisha na Dar kwamba kote kumekucha kwa burudani tofauti ni bahari pekee...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom