mjengwablog na watu acheni kupotosha saida karoli ni mzima wa afya. ajafariki

Status
Not open for further replies.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
napenda kuzibitisha saida karoli ni mzima wa afya. nimeongea kwa simu na watu wa kwao.kwanza yuko dar si visiwa vya goziba uko kagera. nimeona kwenye blog ya mjengwa kuwa saida kafariki tena kwa uzibitisho.pia blogs za tanzania muache tabia ya kucopy na kupaste bila kufanya utafiti muwe wabunifu. mim siwez waletea tangazo kwa mambo raini ya kucopy na kupaste. muache kusingizia watu vifo mkome sana. mnawapa presha ndugu zake kwa uzushi wenu. kucopy na kupaste bila uhakika ni ujinga kila mtu anataka kupost wa kwanza. acheni hizo mjengwa na wenzako
 
kuna habari zinazagaa kwenye mitandao kua saida karoli ameaga dunia kwa kuzama majini, akiwa akitoka kwenye kisiwa kimoja. na hata mjengwa blogs wameripoti. lkn vyombo vingi vya habari na hata web na forums kama jamii forums wako kimya.

ukweli ni upi ?


Mwanamuziki Saida Karoli amefariki baada ya kuzama kwenye maji kufuatia
boti aliyokuwa akisafiri nayo toka Kisiwa cha Goziba kuzama baada ya
kukumbwa na dhoruba na kuzama Ziwa Victoria.
Inaalifiwa pamoja naye kuna watu wengine wamefariki dunia.

source :MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom