Mjengo wa vyumba viwili ukiwa kwenye mchakato

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za leo wakuu,

Kaka mijengo bado naendelea na hobby yangu ya kubuni mijengo mbalimbali kadri akili inavyo nituma.

Haka kamjengo kana vyumba viwili tu, na choo ndani kwa ndani.

Bado hakajamalizika jamani, bado naendelea kukatengeneza zaidi.

mmexport1611948583699.png


mmexport1611948587197.png


mmexport1611948580619.png


mmexport1611948577659.png


mmexport1611948574041.png


mmexport1611948570511.png


mmexport1611948565566.png
 
sikuvunji moyo, ila tafuta fani nyingine broh
Tuliza ball mkuu, utajionea mambo tu, yaani hapo ndio nimeanza. Kuna vitu za moto zinakuja sio muda, kitu zilizonyooka. Wakati unatafakari endelea kupata na song la diamond (NENDA KAMWAMBIE) Alafu agiza na Kamirinda kamoja hapo.

Wakati unatafakari endelea kujiuliza hivi Diamond angekata tamaa kipindi hicho kama wewe ulivyo jikatia tamaa, angefika hapa alipo? Then baada ya hapo fungua google somo linaitwa (HOW TO HAVE POSITIVE MIND). Hilo somo litakusaidia sanaa.

Ni somo zuri. Usiwe unakataa tamaa katika maisha yako yoyote jifunze kuwa positive, and don't be shy in any point which you reach on what you're doing regardless it's bad or good okay. Remember all the eyes of your community are watching you. But don't stop posting what you are doing regardless it's attractive or non-attractive to some bad or jealous eyes.
 
Kazuri ka kuanzia maisha ila kamekosa jiko tu.
Na siku hizi nyumba bila jiko, dinning na sebule inakua bado niya kimaskini. Na ndio sababu ukiweka hivyo vitu lazima ukubwa uongezeke hapo. Na jiko lazima liwe na varanda tena na sebure nayo lazima iwe na varanda kwa hiyo automatically ukubwa utaongezeka tu. Bila kusahau nyumba za siku hizi kachoo ndani kwa ndani
 
Na siku hizi nyumba bila jiko, dinning na sebule inakua bado niya kimaskini. Na ndio sababu ukiweka hivyo vitu lazima ukubwa uongezeke hapo. Na jiko lazima liwe na varanda tena na sebure nayo lazima iwe na varanda kwa hiyo automatically ukubwa utaongezeka tu. Bila kusahau nyumba za siku hizi kachoo ndani kwa ndani

Kwa maisha ya sasa ya kuwindana ,chumba lazima kiwe na choo na jiko ,mambo ya kukojoa kwenye makopo ni UCHAFU au kuamka usiku kwenda choo cha nje wazee wa kazi wakakutime.
 
Back
Top Bottom