Mjengo kama huu ungekuwa Tanzania

Mnyiramba

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
844
2,004
Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856

IMG_1750.jpg

8000tsh!(milioni mia mbili na nane laki 5 na Elfu sitini na nane)
IMG_1751.jpg
 

Mzuzu

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
554
541
Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856

View attachment 2404269
8000tsh!(milioni mia mbili na nane laki 5 na Elfu sitini na nane) View attachment 2404270
Decatur kijijini sana mkuu! Sogea mjini kidogo uone bei zake! Hapo ni karibu na Chicago so check mjini na kuzunguka Chicago IL
 

Mzuzu

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
554
541
US nyumba nyingi karibu 90% zinajengwa kwa mbao, matofali yanatumika kwenye foundation tuu na basement,ni nyumba imara sana na zinakaa hata zaidi ya miaka 100, sababu kubwa ya kutumia mbao ni hali ya hewa, kwenye baridi kujenga kwa matofali ni kutafuta msiba

Yes tofali likipoa wakati wa snow mzee kulipasha muishi ni mtihani umeme wake!
 

Mzuzu

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
554
541
Decatur na Dar wapi town?

City za Marekani unalinganisha na za Marekani huwezi kulinganisha na za bongo mkuu, ni sawa na kulinganisha maembe na mananasi! Anyway maana yangu ni kwamba bei hiyo ni ndogo kwa sababu ni mji mdogo na hauna mauzo sana ya nyumba, nyumba kama hiyo ikiwa city kubwa kama Chicago ambapo ni 2 hours drive toka Decatur inakuwa na bei mara 3 hadi 5 ya bei hiyo, japo pia inategemea na mitaa!
 
4 Reactions
Reply
Top Bottom