Chris_Mambo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 596
- 119
Mungu mkubwa! Wakati mwingine ukiporwa kitu kizuri inabidi usisikitike kwa kuwa inawezekana Mungu ana mpango wa kukuhamishia mahala pazuri zaidi!
mkataba kati ya TBC na tido ulifia kikomo na wala hajafukuzwa kazi bali mkataba uliisha na swala la kuongeza mkataba ni kazi ya muajiri hebu tujadili mambo kisayansi na siyo kama tupo kwenye mabaraza ya kahawa na club za pombe.....happy weekend wadau
Harafu tukija tunalalama eti watalaam wanakimbia nchi...wanaenda Ulaya au nchi za ng'ambo... Kuumbe viongozi wetu ndo wanawakatisha tamaa. Wapo wasomi wengi wa Kitanzania nchi za nje wenye uwezo wa kubadirisha nchi lakini ikija kwenye mambo kama yaliyompata kaka Mhando...wanasita hata kufikiria kurudi nyumbani.... HONGERA sana TIDO endelea kuwa wazi na kufichua maovu ya viongozi wetu hata hapo utakapoingia ili dunia ijue.
Kila siku tunajisifia eti tumeweza kuwaita wawekezaji,kumbe wengi ni wasanii wawekezaji wa kweli wanaelekea NRB,kuna kitu cha kujifunza hapa..
New Al Jazeera Swahili Studios .
Hii ndio studio mpya amabyo inajengwa hivi sasa Jijini Nairobi tayari kwa kurusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili ambapo Tido Mhando ndiye atakayekuwa msimamizi mkuu! .....Magamba na TBC yao.... kwishney....! habari ndo hiyooooo wana JF! cheki mjengo hapo down!!
Under Construction: An Al Jazeera News Studio
Already a number of Swahili News Presenters and Reporters are readying themselves for the interviews and set tentatively for August/September 2011.
New Al Jazeera Swahili Studios .
Hii ndio studio mpya amabyo inajengwa hivi sasa Jijini Nairobi tayari kwa kurusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili ambapo Tido Mhando ndiye atakayekuwa msimamizi mkuu! .....Magamba na TBC yao.... kwishney....! habari ndo hiyooooo wana JF! cheki mjengo hapo down!!
Under Construction: An Al Jazeera News Studio
Already a number of Swahili News Presenters and Reporters are readying themselves for the interviews and set tentatively for August/September 2011.
Daah! sayansi kama ni hiyo eeh! wanao jadili wanaona mbali zaidi yako! kwani kulia na kucheka zote ni kelele tu. wewe hujui dua ya kuku(magamba) haimpati mwewe(Tido) I wish you bro, Tido nice job may God bless You.mkataba kati ya TBC na tido ulifia kikomo na wala hajafukuzwa kazi bali mkataba uliisha na swala la kuongeza mkataba ni kazi ya muajiri hebu tujadili mambo kisayansi na siyo kama tupo kwenye mabaraza ya kahawa na club za pombe.....happy weekend wadau
kwa maoni yako performance ya tido haikustahili kuongezewa mkataba mwingine?acha kuleta porojo za kijiweni wewe!mkataba kati ya TBC na tido ulifia kikomo na wala hajafukuzwa kazi bali mkataba uliisha na swala la kuongeza mkataba ni kazi ya muajiri hebu tujadili mambo kisayansi na siyo kama tupo kwenye mabaraza ya kahawa na club za pombe.....happy weekend wadau
<o></o>Huyo Tido si ndio alikuwa mkuu pale? ilikuwaje akaacha studio namna hiyo?au ndicho kilicho mng'oa pale? Kwa waarabu atanyooka.
<o></o>mkataba kati ya TBC na tido ulifia kikomo na wala hajafukuzwa kazi bali mkataba uliisha na swala la kuongeza mkataba ni kazi ya muajiri hebu tujadili mambo kisayansi na siyo kama tupo kwenye mabaraza ya kahawa na club za pombe.....happy weekend wadau
<o></o>
<o> </o>
Aisee! KUMBEEE! Waarabu wananyoosha eeeh.<o></o>
<o> </o>
<o> </o>
<o> </o>
<o></o>
<o> </o>
Mkuu kwa hiyo unasemaje? Kwamba Tido hakupaswa kuongezwa mkataba? <o></o>
<o> </o>
BIG UP TIDO, MAY THE LORD BE With You.
Of course, unafikiri waarabu wanataka mchezo.
Angefanya vema si angeongezewa mkataba, hau huoni juu huko? studio nyang'anyang'a wakati wake. Mpaka leo TBC 40% matangazo ya nje si yetu wenyewe, alikuwa anafanya nini wakati wote?
You seem not to be very serious with what you are saying madam, Ni Tido Mhando ndiye aliyeleta mabadiliko makubwa tunayoyaona sasa TBC na ambayo bila shaka yatayeyuka polepole mpaka ipoteze kabisa ladha kama zamani. Kuna wakati fulani kabla ya kuja huyu Tido makada wa CCM tu ndiyo waliokuwa wakihangaika na kuitazama ile iliyokuwa ikiitwa TVT.Huyo Tido si ndio alikuwa mkuu pale? ilikuwaje akaacha studio namna hiyo?au ndicho kilicho mng'oa pale? Kwa waarabu atanyooka.
duh huo mstudio nomaaaaaaa hivi na ule wa tbc magamba upo hivi hivi kweli? nijuzeni wadau!
Hivi kwanini idhaa za kiswahili nyingi zpo Nairobi? Kasoro ile ya wafaransa
Tangu EL atoke Nigeria amekuwa anasafishwa kiaina hata kwenye posts ambazo hahusiki!sidhani kama EL angekuwa PM wangemfukuza!!!riziki zatoka juu.....