Mjasirimali na familia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjasirimali na familia

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by CHASHA FARMING, Dec 27, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  UHUSIANOKATI YA BIASHARA NA FAMILIA

  Biasharainatunzwa na Mfanya biashara na kuzalisha mapato. Katika mapato hayo mfanyabiashara anajilipa mshahara kutokana na kupata faida. Mshahara anao jilipa ndounatumika kwa matumizi binafisi ikiwemo kutunza familia. Katika hili ni vyemafedha ya Biashara na ya familia itengwe ili kuepuka mwingiliano wa matumizi. Ilbiashara iweze kukua vizuri ni lazimamfanya biashara aelewe namna ya kutenga fedha ya biashara na ya familia

  KUTENGANISHA BIASHARANA FAMILIA


  Biasharaina nafasi kisheria kama binadamu, na inalindwa na sheria na ndiyo maanainapewa jina na kusajiliwa. Kwa kua biashara na mwenye biashara ni vitu viwilitofauti na matumizi yao ni tofauti pia. Kwa hiyo fedha ya biashara ni yabiashara na ya familia ni ya familia, vitu hivi viwili havichangwanywi.

  NJIA ZAKUBADILISHA FAMILIA IWEZE KUISAIDIA BIASHARA KUIMARIKA NA KUKUA

  1. Elimishafamila yako maana na umuhimu wa biashara yako katika kuendeleza familia hiyo.Biashara ndiyo inayo itunza familia . Ili biashara iweze kuitunza familia nilazima itunzwe vizuri. Mfano Jinsi ng'ombe anavyo tunzwa vizuri ndivyo anavyotoa maziwa mengi. Yale maziwa yanauzwa na kulipa ada za shule na kazalika.

  2. Wape elimu yabiashara ili wakusaidie kusimamia biashara yako

  3 Usiajiri wanafamilaambao c waaminifu

  4. Washirikishe wana familiakatika kuzalisha na si katika matumizi tu

  5. Kuwa muwazi namkweli kwa familia yako kuhusu kipato halali kinachopatikana kwenye biasharayako


  ATHARI ZAKUENDEKEZA UNDUGU, UJIRANI, URAFIKI KATIKA BIASHARA

  1 Uzoefuunaonyesha kwamba ndugu na marafiki wakikopa hawarudishi, Na wakijua kuwa weweni rahisi kutoa misaada basi kuomba hakuishi na matokeo yake ni.

  - K
  ujenga uadui wakati unapo kuwa huwezikuwasaidia

  - Kudhoofisha biasharayako kwa kutoa misaada mingi sana

  - Kuathiri maendeleo yafamilia yako

  - Kushindwa kulipamikopo uliyo chukua

  - Kufilisika

  NJIA ZAKUELIMISHA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI

  1.Waelimishe wasaidie biashara yako kukua vizuri badala ya kuiharibu

  2. Unaweza kuwaelimishakwa kuongea nao wewe mwenyewe ana kwa ana

  3. Unaweza tumia mtaalaau mtu mwingine atakaye weza kuwaelimisha vizuri

   
 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asante komandoo,
  kama kawaida nitaiweka hapa baada ya kufanyia some edit
  GSHAYO
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Nimeupenda sana huu uzi asante mkuu.
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  gonga hii link nimeshaufanyia ma edit
  http://gshayo.blogspot.com
   
 5. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  @Komandoo, haya ni sahihi kabisa katika familia na mila na desturi za kitanzania lakini sielewi ni kwanini ni tofauti na mila na desturi za kihindi na haya apply kihivi saaana katika mila na desturi zao... nimepitia kidogo literature za entrepreneurship in india inaonyesha biashara zao nyingi na kubwa ni familly owned and mostly managed by women na zaidi ya yote wanahakikisha members of the familly wanashiriki zaidi bila kujali ana mwelekeo gani na bado biashara zao zinakua.
  Wakati flani nilipomaliza form four nilifanya tempo mohamed entreprise, manager was an old lady one of the supervisors was a young indian boy mvuta bangi kishenzi na akili zake alikuwa anaonyesha kabisa yuko adicted lakini cha ajabu inapokuja kwenye kazi linajituma kweli na hakuna cha wizi kinapita kwake...
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Dec 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Familia ndo inaweza kusimamia biashara, Dunia nzima makampuni mengi yanaongozwa na wanafamilia, lakini huku Bongo wakati Baba au Mama akiwa bise na biashara watoto wako bise na starehe na kuspend pesa za wazazi, na wazazi hufanya makosa hata kwenye swala la elimu, Utakuta Baba wa familia ni Mfanya Biashara mkubwa sana, lakini cha ajabu watoto wake wanasoma kozi zisizo kuwa na muelekeo wa Ujasirimali

   
 7. Kubota

  Kubota JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 533
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 60
  Asante Chasha, yaani imefikia hadi tunatahadharishwa tuogope kuajiri ndugu kwenye biashara, shauri ya wisi na ubadhirifu, halafu hawajitumi, pia nao wanajiona ni wadau kwa hiyo nao ni viboss. Nadhani ni suala la kuwaandaa wana familia, ni suala la kufundishana na kuchuja ili kubaini wale waliona mwelekeo kuwa ajiri. Biashara zetu zinapaswa zilete neema kwa kutoa ajira kwa waliokaribu na sisi, tuwachambue wasiobebeka tuachane nao wenye uelewa tuwaelimishe na kusonga mbele! Ukweli unabaki kuwa zimwi likujualo halikuli likakumaliza. Tuwaelimishe.
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Jan 5, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli na wana ndugu wengi ndo wanaongoza kwa kuharibu biashara, na wanajua fika huwezi wafanya chochote, wewe imegine umemuweka Mke wako ndo BOSI na hajui chochote akiharibu utamfanya nini? au umemweka shemeji, Baba mzazi, Mama mzazi, Baba mkwe au Mama mkwe, utawafanya nini hawa pindi wanapo vurunda? hata kuwafukuza hutaweza make inaweza sabababisha matatizo mkubwa sana.

  Na Watu wengi wamekuwa wakitumia ndugu ili kusavu cost lakini wanasahau kwamba hao ndugu nao inatakiwa wachukuliwe kama wafanya kazi wa kawaida kabisa na ikibidi hata mshahara walipwe, Hata kama ni mke wako anatakiw akulipwa mshahara

   
 9. Yegoo

  Yegoo JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2013
  Joined: Nov 14, 2012
  Messages: 1,303
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Somo zuri! Na limeniangia ipasavyo! Nimeelimilika jama!
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Umesomeka ndugu.
   
 11. Root

  Root JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2014
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,242
  Likes Received: 12,962
  Trophy Points: 280
  Nimeelewa vizuri sana
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Feb 24, 2014
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Dah, Hii thread nilikuwa nisha isahau, asante sana kwa kuiibua
   
 13. M

  Masikini mjanja Senior Member

  #13
  Nov 22, 2017
  Joined: Oct 13, 2017
  Messages: 152
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Hii yaweza kuwa ndo thread bora kabisa ya kufungia mwaka huu.
   
Loading...