Mjasiriamali: Nahitaji huduma ya Website kwa gharama nafuu


Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
158
Likes
36
Points
45
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined Nov 23, 2017
158 36 45
Habari! wana JF

Kama ilivyokuwa ada yetu ya miezi ya awali ya kutoa huduma ya kutengeneza website (tovuti) Buree!, tumerejea tena kwa mwezi huu. Ofa inajumuisha Website zote, iwe ni ya Taasisi, Shule au Biashara na si website za habari na e-commerce.

Muda wa ofa: 11/02/2019 hadi 17/02/2018, ni wiki moja tu

Jinsi ya kuipata:
Utaratibu wetu ni ule ule, mteja anatakiwa alipie domain na hosting kwetu yenye thamani ya Tsh 100,000/=

Ofa inajumuisha:
Limited Web page (s) - About us, Services, blog/news, Faqs, Contacts
C-panel
CMS packages
SEO

Muda wa kutengeneza: Tunaitengeneza website ndani ya siku 3 inshaallah
NB: Website ndani ya masaa 24 inakuwa online, tunaitengeneza mteja akiishuhudia mwenyewe

Mashart:
1.Ofa haitajumuisha blog, website za habari na website zenye huduma maalum
2.Ofa haitajumuisha website za e-commerce

Who are we?
We are microsafi.com a digital agency focused on creating custom websites, mobile apps, & digital marketing to grow brands online. We help companies around the world increase their online presence and ROI through design, development and online marketing

Wasiliana nasi: 0712 450 136
Whats app: 0788 450 136
Barua pepe: info@microsafi.com
Address: Dar es salaam
 
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
459
Likes
253
Points
80
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
459 253 80
unaweza kutoa mfano wa website ulizotengeneza pamoja na APP?
 
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
158
Likes
36
Points
45
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined Nov 23, 2017
158 36 45
Nadhani ingekua vizuri ukaziweka hapa kila mtu azione.
Hapana hatutaweza kuziweka kutokana na kanuni za JF hawataki lnks wanazingatia kama spam, hivyo kama ni muhitaji wa huduma wasiliana nasi tutakupa links.

Na hili tumelifanya kwa mteja mpya ambaye amejiridhisha
 

Forum statistics

Threads 1,262,349
Members 485,558
Posts 30,120,958